Mbona una akili ndogo hivi, hata wanaowalipa basi wawe wanawapiga msasa kidogo, uchaguzi huru na wa haki wewe unaelewa maana yake ni wapinzani washinde?Sasa kama watz wameamua nyinyi mnataka muwalazimishe kuchagua upinzani? Kwa nini msiende mahakamani? Sasa nyinyi wakati wa kampeni mlikuwa mnahangaika na kuwaeleza watz jinsi utakavyoingia barabarani kupitia beberu Amsterdam. Kama hamjui watz hawapendi kibaraka hata siku moja.
Pathetic,