Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Are you even serious? Afadhali tudharauliwe kwa msimamo wetu wa dhati wa kuijenga nchi yetu, kutunza rasilimali zetu, kudumisha uzalendo wa kweli na siasa ya kujitegemea, kuliko kusifiwa-sifiwa na mabeberu wakati mali zinasombwa na hao jamaa zako kwenda ng'ambo. FYI: Mjiandae kukereka zaidi. Kisiwa kidogo cha Kyuba US ilijaribu, lakini Fidel Castro aliwawekea ngumu hadi wakanyooka mstari. Mimi nampenda sana Dkt. JPM kwa sababu ya misimamo yake thabiti ya kutoamuliwa kila jambo. Huyo ndiye Rais sasa na kiongozi mkuu. Halafu wajiandae kabisa kushindwa kama walivyomshindwa Mr Kiduku wa Korea Kaskazini.Jiwe ndiye mtu aliyeharibu hiyo nchi kwa kiwango kikubwa sana,historia itamkumbuka sana huyo kiumbe. Kwa sasa ukisema wewe ni Mtized unadharaulika sana tofauti na mwanzo, mwisho wa siku unaanza kusingizia uraia wa nchi nyingine,very shameful