Ni fedheha chama kikongwe kama CCM kufanya wizi na ujambazi! Shame on CCM kujipitisha kwa kura feki!Hawa jamaa walileta mwangalizi ili awape ukweli? Au wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?
Hata Professor Kaguta Museven na Dr. Kagame Hawajawahi Kufanya hiki Kilichotendeka kwenye nchi nzuri aliyotuachia Mwl. Nyerere. CCM Mmetukosea sana Watanzania. Hata huko Nje ukisema unatoka Tanzania kwa sasa Itakuwa Unaona aibu.Kila pande ya Dunia inapiga yoweee...mwizii...mwiziiii...mwiziii huyoooo hana aibuuu mchana kweupeee...mwiziiiiii
Sasa kama watanzania wameamua nyinyi mnataka muwalazimishe kuchagua upinzani? Kwa nini msiende mahakamani? Sasa nyinyi wakati wa kampeni mlikuwa mnahangaika na kuwaeleza watz jinsi utakavyoingia barabarani kupitia beberu Amsterdam. Kama hamjui watz hawapendi kibaraka hata siku moja.Tutakinywea kikombe na walio wengi Waliwezesha dhambi iliyotendeka. Ni swala la Muda tu Kama nchi Tutajua Tumebugi kwenye Uchaguzi. Uchaguzi gani usiokuwa na Wapinzani. Very shame as a Nation... Ngoja Walioshinda washerekee lakini ni kama hawana FURAHA na USHINDI wao, Maana Taifa limevimba na lipo gizani.
Hata ukiwauliza wapinzani walete ushahidi wa kuibiwa hawana zaidi watakuletea karatasi za kupigia kura fake!Inashangaza!
Mtaimba huu uongo lakini tarehe 5 chuma kinaapishwa.Ni fedheha chama kikongwe kama CCM kufanya wizi na ujambazi! Shame on CCM kujipisha kwa kura feki!
Hawa akina EFF wanahoji eti mtu kapata 84% ya kibali cha watanzania kuwaongoza, inakuwaje kuwaogopa 16% ya walioshindwa wanapoandamana kwa amani? EFF wametumwa na nani?Sasa kama watz wameamua nyinyi mnataka muwalazimishe kuchagua upinzani? Kwa nini msiende mahakamani? Sasa nyinyi wakati wa kampeni mlikuwa mnahangaika na kuwaeleza watz jinsi utakavyoingia barabarani kupitia beberu Amsterdam. Kama hamjui watz hawapendi kibaraka hata siku moja.
Waangalizi wengi walizuiwa na CCM ndio iliyokuwa inachagua nani wa kuwaangalia na ni nani asije.Hawa jamaa walileta mwangalizi ili awape ukweli? Au wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?