mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Hii barua iliandikwa na Lissu akishirikiana na Zitto.Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu.
Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
View attachment 1618635View attachment 1618636
Achana nao hao hakuna chama hapo ni wanaharakati kama CHADEMAHawa jamaa walileta mwangalizi ili awape ukweli? Au wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?
Huu ni uchafu nchini kwetu lazima usafishwe, haiwezekani vitoto vya juzi vinatoa matamko ya hovyo dhidi ya jabali la siasa CCM. Sasa ECONOMIC FREEDOM FIGHTERS ndio ujinga gani? nimesoma mpaka mwisho ni upuuzi, amiri Jeshi ngoja aapishwe waje watueleze huu fighters wanaufanyia wapi.Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu.
Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
View attachment 1618635View attachment 1618636
Kamata mwiziii huyoooooooooo.Kila pande ya Dunia inapiga yoweee... mwizii...mwiziiii...mwiziii huyoooo hana aibuuu mchana kweupeee...mwiziiiiii
Tume mnalala nayo chamwino,ushahidi gani unataka,utakua umekalia kitu kigumu ulipokua unaandika uharo wakoHata ukiwauliza wapinzani walete ushahidi wa kuibiwa hawana zaidi watakuletea karatasi za kupigia kura fake!
Kumbuka kuna ushahidi wa mazingira na kuna ushahidi wa vielelezo!Hata ukiwauliza wapinzani walete ushahidi wa kuibiwa hawana zaidi watakuletea karatasi za kupigia kura fake!
Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu.
Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
View attachment 1618635View attachment 1618636
Upande upi haujasikilizwa? Upande mmoja unadai uchaguzi ulikuwa huru na haki, wa pili unadai uchaguzi ulivurugwa na ushahidi wametoa. EFF wametafakari yote wakatoa msimamo wao.Hawa jamaa walileta mwangalizi ili awape ukweli? Au wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?
Yote heri tuMtaimba huu uongo lakini tarehe 5 chuma kinaapishwa.
Acha uongo EFF ndo wanao pinga Xenophobia South AfricaEFF ni kundi la vijana wa Xenophobia huko South Africa. Hilo liko wazi. Hawana moral authority ya kukosoa uchaguzi wetu.
Such a nascent political party in South Africa, with no a slight idea of what really happened underground, during Tanzania's elections, has no legitimacy , mandate or justification to comment on the just concluded Tanzania's electioneering process.Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu.
Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
View attachment 1618635View attachment 1618636
Chai sana nchi zetu hizi za kiafrika...sijui ni laana ama, yani jitu linavuruga uchumi, ajira, maisha ya watu, bado hataki kukosolewa as if he has infinite knowledge in everything. It really hurts. We are so lost. Eti uchumi unakuwa, hata aibu hawana.Wizi wa dhahiri na ukiukaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi kama ulivyotokea safari hii kwenye uchaguzi wa 28 October, huhitaji kuleta mtazamaji kuweza kujua uharamia uliofanywa.
Awamu hii imeharibu karibia kila kitu. Imeharibu uwekezaji, umeharibu ajira na sasa imeharibu taswira ya nchi kwa ujumla.