Wapendwa viongozi wetu, waswahili wanasema maneno matupu hayavunji mfupa. Tusijifanye wapole sana na wapenda amani wakati haki inakanyagwa. Wakati wa maneno umepita sasa tunataka vitendo. Tuache woga, nchi yetu inaangamia.
PENDEKEZO LANGU
Tangazeni maandamano ya amani yasiyo na kikomo kuanzia kesho (mchuzi wa punda lazima uunywe ukiwa wa moto). Najua jinsi walivyojiandaa kijeshi, lakini ukombozi wa kweli ni lazima uambatane na kafara. Hakuna atakayetuletea haki yetu kwenye sahani ya fedha, HAKI INAPIGANIWA, HAIOMBWI. Tumeumia sana sana sana, nchi ime-paralize. Jamani semeni neno msikae kimya, vijana sasa wameiva mabomu si jambo la ajabu tena. Jamani tuokoe nchi yetu.
LOWASA, MBOWE, MBATIA Acheni kulia lia toeni orders nchi ipone.
MUNGU IBARIKI TANZANIA