Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Itafahamika tu . Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo dhuluma iliwahi kushinda haki .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Jomo kenyatta alifariki mwaka gani? anyway maelezo uliyotoa yana maana.1980. .
Jomo Kenyatta alisema haya; _
"Kenya naongoza wagonjwa mahututi ila siku wakizinduka, hapatakalika. ..
Ila kiongozi wa Tanzania anaongoza MAITI , ni ngumu hawa watu kufufuka. .. "
SHKAMOOh
MZEE
JOMO
KENYATTA
Kweli kabisa. Hapa kwetu licha ya kwamba ni makao makuu ya wilaya, wananchi wengi wako down kupita maelezo. Yaani hakuna hata anaye jali kwamba kulikuwa kuna tukio la kumtangaza mshindi wa urais.
Wengi wao wamepigwa na butwaa huku wakijawa na huzuni kwani matarajio yao ya walicho kichagua sicho walicho kipata.
Watanzania sasa ni wakati wa kufanya kaz na kuendeleza taifa malumbano ya kisiasa hayatasaidia kitu nawaomba tuungane na Ndugu yetu John pombe kuendeleza maendeleo yetu ni wakati wa kuweka siasa pembeni na kufanya kazi maendeleo yetu yataletwa na sisi wenyewe na sio kuweka tegemezi kwa kiongozi ambaye anafahamika Ndugu lowasa
Dhuluma vs haki. Alipataje rais wa monduli na bodaboda kuwa mgombea wa CDM na UKAWA? Ni kanuni takatifu ukipanda bangi unavuna bangi usitegemee mchicha.
Kirahisi hivyo?