Elections 2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

Elections 2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

So sad jinsi yeyote akigusa matok?o anakamatwa na computer yake
 
Hivi huyu mheshimiwa Lowasa atapewa nafasi gani katika chama ili alinde maslahi yake na wale waliochangia uchaguzi?
 
Mbowe na wabunge wote wa ukawa wajiuzulu nafasi zao kumuunga mkono Rais wao kuonesha wanaamini madai haya.

Too low man! You lost you are credibility! Muda si mrefu tutaambiwa kwa ulimi wako usha mlamba Dr. Mihogo 0713 yake.
 
Tupe maelekezo sisi wafuasi wako hapa TANZANIA tufanyeje!

Hata huo ushindi feki tuna uwezo wa kuutengua!
 
kama LAURENT BAGBO VILE,YAANI NA HIVI UPO NJE YA IKULU WALA HUTUSUMBIU AKILI,ETI RAIS,ITAKUWA RAIS WA MONDULI
 
1980. .
Jomo Kenyatta alisema haya; _

"Kenya naongoza wagonjwa mahututi ila siku wakizinduka, hapatakalika. ..
Ila kiongozi wa Tanzania anaongoza MAITI , ni ngumu hawa watu kufufuka. .. "

SHKAMOOh
MZEE
JOMO
KENYATTA
 
Word!...

Ingawa hilo halitatokea...Wataenda bungeni...Wataapa....Baadae watatoka kwenye hotuba ya Rais kufungua Bunge...Kisha watarudi baada ya hotuba....Na JPM ataendelea na kazi yake ya Urais wa JMT mpaka 2020

Kwa mtu mwenye maono ya kiuongozi, likitokea jambo hili lazima atajua kuna mushkeli mahali hivyo ni lazima kutafuta njia ya kuwarudisha watu wawe wamoja. Na sio kuonyesha kiburi ambacho hakita lijenga taifa kama ilivyo sasa.
 
1980. .
Jomo Kenyatta alisema haya; _

"Kenya naongoza wagonjwa mahututi ila siku wakizinduka, hapatakalika. ..
Ila kiongozi wa Tanzania anaongoza MAITI , ni ngumu hawa watu kufufuka. .. "

SHKAMOOh
MZEE
JOMO
KENYATTA

Kenyatta alikufa 1978. Huo mwaka 1980 alizungumza kutoka kaburini
 
Hivi huyu mheshimiwa Lowasa atapewa nafasi gani katika chama ili alinde maslahi yake na wale waliochangia uchaguzi?

mkuu mzee amechanjiwa na matajiri ili waje walau kufidia kwenye gesi : sasa sijui itakuwaje na hali hii
 
HALI HALIS YA WATANZANIA SASA HIVI

kumepooza kila mahali
Sio sokon sio mitaan
Sio majumban na wala sio katka taasis yoyote ile iwe ya uma au ya binafsi

ANAEDAIWA KUWA NI MSHINDI WA URAIS (MAGUFULI) LAKIN WATU WAKO KIMYA KAMA WAMETANGAZIWA HABAR YA MSIBA
Ingia mitandao ya jamii
Fb
Wasap
Instagram
Etc
Kuko kimya
Watu hawana mudi ya kuchat
Baadh yao hawatak hata kusikia mdudu anayetwa siasa🙉🙉
Tulitegemea kuwe na shamra shamra za hapa na pale baada ya kusikia kutangazwa kwa mshind wa urais
Hii kidogo inakufanya ufikirie mara mbili coz kushinda tu kwa baadh ya wabunge/madiwan kumekuwa na shamra shamra za furaha hadi inafikia polis wanatumia silaha kuwatawanya
Lakin rais
I min mkuu nchi na amiri jesh mkuu anatangazwa lakin watu kimya kama ndo wametangaziwa KIAMA KESHO🙆🏿🙆🏿

SASA SWAL LA KUJIULIZA NI JE NI WATU GAN WALIOMCHAGUA MAGUFUL IKIWA ASILIMIA KUBWA YA WATZ WAKO KATKA HUZIN?
HII INAASHIRIA NN?
TULITEGEMEA MUDA HUU KUWE KUNA SHANGWE ZA HAPA NA PALE ZA FURAHA ZA KUPOKEA USHIND LAKIN HAL HIYO NI TOFAUT KABSA

HII INAMAANA GAN?
KATKA HIL HAUHITAJ DIGRII WALA DIPLOMA ILI KUELEWA KUWA TUME(NEC) WAMETANGAZA MATOKEO WALIUOYAANDAA WENYEWE NA SIO MATOKEO YA KURA WALIZOPIGA WATANZANIA😓😓


Tanzania Tanzania?2
Nakupenda kwa moyo woteee

Nchi nzuri Tanzania🎶
Karibu wasio na kwaooo wenye shida na taabu kukimbizwa na waloweziii🎤

Ni kweli mm binafsi ninauzuni maana nikifikilia gharama alizozitumia yule mzee ni hatari yaan kala hasara ambayo hajawah kupata toka kazaliwa inauma sana...!
 
Lowassa wewe ni mtu wa Mungu, ulisema utasamehe 7?70. Naomba na hili usamehe 7?70 mzee. Hatuko tayari kuchinjana sababu ya masiasa yenu hayo. Kama ni mpaka tone la mwisho zianze na familia zenu kwanza sawa mzee.
 
Pimaaa
Safari ya matumaini
Safari ya matumain
Safari ya matumai
Safari ya matuma
Safari ya matum
Safari ya matu
Safari ya mat
Safari ya ma
Safari ya mab
Safari ya maba
Safari ya mabad
Safari ya mabadi
Safari ya mabadil
Safari ya mabadili
Safari ya mabadilik
Safari ya mabadiliko
Safari ya mabadilik
Safari ya mabadili
Safari ya mabadil
Safari ya mabadi
Safari ya mabad
Safari ya maba
Safari ya mab
Safari ya ma
Safari ya m
Safari ya mo
Safari ya mon
Safari ya mond
Safari ya mondu
Safari ya mondul
Safari ya monduli 🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃🐃[/
 
Ulitaka kusiwe na ulinzi hata kwako na mkeo na wanao unaweka ulinzi sembuse mkuu wa nchi
 
day dreaming in his safari ya matumaini ya kuukwaa urais wa JMT
 
Back
Top Bottom