Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bao la mkono ndio hlooooo
Utawala wenye mabavu karne hii sio SIFA bali ni DHURUMA. TUTASHUHUDIA MENGI KUANZIA LEO. MUNGU ATULINDE JAMANI.HALI HALIS YA WATANZANIA SASA HIVIkumepooza kila mahaliSio sokon sio mitaan Sio majumban na wala sio katka taasis yoyote ile iwe ya uma au ya binafsiANAEDAIWA KUWA NI MSHINDI WA URAIS (MAGUFULI) LAKIN WATU WAKO KIMYA KAMA WAMETANGAZIWA HABAR YA MSIBAIngia mitandao ya jamiiFbWasapInstagramEtcKuko kimyaWatu hawana mudi ya kuchatBaadh yao hawatak hata kusikia mdudu anayetwa siasa🙉🙉Tulitegemea kuwe na shamra shamra za hapa na pale baada ya kusikia kutangazwa kwa mshind wa uraisHii kidogo inakufanya ufikirie mara mbili coz kushinda tu kwa baadh ya wabunge/madiwan kumekuwa na shamra shamra za furaha hadi inafikia polis wanatumia silaha kuwatawanyaLakin rais I min mkuu nchi na amiri jesh mkuu anatangazwa lakin watu kimya kama ndo wametangaziwa KIAMA KESHO🙆🏿🙆🏿SASA SWAL LA KUJIULIZA NI JE NI WATU GAN WALIOMCHAGUA MAGUFUL IKIWA ASILIMIA KUBWA YA WATZ WAKO KATKA HUZIN?HII INAASHIRIA NN?TULITEGEMEA MUDA HUU KUWE KUNA SHANGWE ZA HAPA NA PALE ZA FURAHA ZA KUPOKEA USHIND LAKIN HAL HIYO NI TOFAUT KABSAHII INAMAANA GAN?KATKA HIL HAUHITAJ DIGRII WALA DIPLOMA ILI KUELEWA KUWA TUME(NEC) WAMETANGAZA MATOKEO WALIUOYAANDAA WENYEWE NA SIO MATOKEO YA KURA WALIZOPIGA WATANZANIA😓😓Tanzania Tanzania?2Nakupenda kwa moyo woteeeNchi nzuri Tanzania🎶 Karibu wasio na kwaooo wenye shida na taabu kukimbizwa na waloweziii🎤
Et haki ya kila mtanzaniaInasikitisha kuona ishu serious zinafanyika kama maigizo aswa yale ya kibongo.... all the best ila aina aja ya kusema kupiga kura n haki ya mtanzania
Umeshindwa tambua kuwa lowassa angeshinda tena kwa kishindo kama zingepigwa kura za mitandaoni, kwa wananchi wa kawaida shamra shamra zipo ila sio sana, sababu ya msingi ni kwamba wananchi wengi walijua matokea mapema sana.HALI HALIS YA WATANZANIA SASA HIVI
kumepooza kila mahali
Sio sokon sio mitaan
Sio majumban na wala sio katka taasis yoyote ile iwe ya uma au ya binafsi
ANAEDAIWA KUWA NI MSHINDI WA URAIS (MAGUFULI) LAKIN WATU WAKO KIMYA KAMA WAMETANGAZIWA HABAR YA MSIBA
Ingia mitandao ya jamii
Fb
Wasap
Etc
Kuko kimya
Watu hawana mudi ya kuchat
Baadh yao hawatak hata kusikia mdudu anayetwa siasa🙉🙉
Tulitegemea kuwe na shamra shamra za hapa na pale baada ya kusikia kutangazwa kwa mshind wa urais
Hii kidogo inakufanya ufikirie mara mbili coz kushinda tu kwa baadh ya wabunge/madiwan kumekuwa na shamra shamra za furaha hadi inafikia polis wanatumia silaha kuwatawanya
Lakin rais
I min mkuu nchi na amiri jesh mkuu anatangazwa lakin watu kimya kama ndo wametangaziwa KIAMA KESHO🙆🏿🙆🏿
SASA SWAL LA KUJIULIZA NI JE NI WATU GAN WALIOMCHAGUA MAGUFUL IKIWA ASILIMIA KUBWA YA WATZ WAKO KATKA HUZIN?
HII INAASHIRIA NN?
TULITEGEMEA MUDA HUU KUWE KUNA SHANGWE ZA HAPA NA PALE ZA FURAHA ZA KUPOKEA USHIND LAKIN HAL HIYO NI TOFAUT KABSA
HII INAMAANA GAN?
KATKA HIL HAUHITAJ DIGRII WALA DIPLOMA ILI KUELEWA KUWA TUME(NEC) WAMETANGAZA MATOKEO WALIUOYAANDAA WENYEWE NA SIO MATOKEO YA KURA WALIZOPIGA WATANZANIA😓😓
Tanzania Tanzania?2
Nakupenda kwa moyo woteee
Nchi nzuri Tanzania🎶
Karibu wasio na kwaooo wenye shida na taabu kukimbizwa na waloweziii🎤
Ni kwa sababu mitandao ilijazwa na hackers wa UKAWA. Baada ya kukamatwa wale vijana ndo maana unaona mitandao imepoa
Mbona mnawabebesha watanzania wote hisia zenu? Acheni kabisa mbona Tv zinaonyesha watu wanashangilia? Haiwezekani wote kushinda lazima awe mmoja.
Mbowe na wabunge wote wa ukawa wajiuzulu nafasi zao kumuunga mkono Rais wao kuonesha wanaamini madai haya.