Elections 2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

Hata wana CCM wenyewe wanajua walichopata hawakustahili kabisa.

Mtaani kila mtu amejenga kinyongo kwa serikali.

Huo utakuwa mtaa wa wale waliokuwa wanarambaramba peremende. Khe khe he khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nitaendelea kumtambua Lowassa kama rais wangu.
 
Umeshindwa tambua kuwa lowassa angeshinda tena kwa kishindo kama zingepigwa kura za mitandaoni, kwa wananchi wa kawaida shamra shamra zipo ila sio sana, sababu ya msingi ni kwamba wananchi wengi walijua matokea mapema sana.
mkuu umesahau kusema zingepigwa siku ya mikutano yao ya kampeni ndio wangeshinda
 
Tamko halibadili matokeo,wana ukawa acheni unafiki,Lowassa hakuwa chaguo lenu ata kidogo,Magufuli 2015-2025
 
Kama hii ni kweli, then Edward Lowassa, umetimiza wajibu wako, umefanya kazi yako, jipumzikie kwa amani, meingine yote muachie Mungu!, kuna mahakama ya haki kuliko mahakama zote za dunia hii, hii ni mahakama ya karma.

Pasco
 
Bado mnakomaa na propaganda za mitandaoni. Nyumbu bana!!!
 

haya ndio tunayaita mahaba niue ww huna tofauti na babu yako kingunge sasa kama unataka hivyo kusanya familia yako yote nenda barabani kaandamane tuwatengue viuno maana hakuna namna kama ndivyo hivyo basi kataeni majimbo ya ubunge na udiwani mliyochukua kwamba hamkushinda kiharali ili uchaguzi urudiwe upya muone tutakachowafanya tena kwenye box hamtaamini kabisa hata mliyoyapata sasa hivi mtayakosa chezea ccm ww unaleta mihemko watu tuko kazini ww
 
Kama hii ni kweli, then Edward Lowassa, umetimiza wajibu wako, umefanya kazi yako, jipumzikie kwa amani, meingine yote muachie Mungu!, kuna mahakama ya haki kuliko mahakama zote za dunia hii, hii ni mahakama ya karma.

Pasco

Pasco huyo karma anaiogopa ccm? Mpaka iweje ndio apatilize adhabu kwa niaba yetu.

I hurts unajua
 
Last edited by a moderator:
Nitaendelea kumtambua Lowassa kama rais wangu.

endelea hivohivo kujifanya mwehu mkuu!.kama babu yako mamvi anavyojitoa ufahamu.kapigwa gori la mkono game imeisha anatafuta ushindi wa mezani.ila kheri yako wewe babu yako mamvi ni zaidi ya lofa!
 
Haya ilibidi uyafanyie kazi kabla ya kuungua uchaguzi mkuu huu. Vinginevyo business as usual.

Watanzania ni watu wa ajabu sanaa. Tukipokonywa haki tunacheka, tukitukamwa tunashangilia, tukidanganywa tunahamaki na ukisema ukweli unakua adui wa wajinga wotee ambao kwa ujumla ni wengi na rafiki wa walio wachache wanaojitambua
 

Lowasa watanzania wamemkataa chaguo letu waTz ni Magufuli. Asitake kutulazimisha akatawale kaskazini kama anafikiri kaskazini ndio Tanzania.
 
Poleni sana wana UKAWA naona mbuzi mwaka huu kafia kwa muuza mtori. Na ninawahakikishieni atachemsha kuanzia kichwa, makongoro mpaka utumbo. Ngozi itatengenezea viatu na wallet zetu kuwekea vitambulisho vya kura mpaka 2020 tupige tena msumari wa shingo
 
Na pamoja na kuwa na wachunguzi wa uchaguzi kutoka nchi za Ulaya lakin bado haki inapokonywa na wao kuwa kimya tu...Wamegeuka waandishi wa habari wa vyombo vyao badala ya kusimamia haki...
Wachunguzi wote wamerogwa na ile kamati ya Ufundi ya Membe.
 

Yaani utafikiri ni kifo cha shoga...watu hata hawashtuki...!!
 
Mbona mnawabebesha watanzania wote hisia zenu? Acheni kabisa mbona Tv zinaonyesha watu wanashangilia? Haiwezekani wote kushinda lazima awe mmoja.

Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani...wale ni kenge mamba wametulia..!!
 
Ukijumulisha unaona wazi kuwa kura zinazidi sana. Ukijumulisha matokeo ya Magufuli na Lowassa unapata 15,603,783 ambayo ni 40,9921 zaidi ya kura halali ambazo ni 15,193,862. ukijumilisna na za wagombea wengine, unapata kura hewa 645,006. Kura za Lowassa, ukuzitafutia wastani wa kura zote unapata 44%. Hii yote inaonesha kulikuwa na kuzidisha kura hewa.
 

Unapoongelea kutengua viuno, chakwako pia kinaweza kutenguliwa,hatutaandamana ili tufe,kifo ni matokeo tu,binafsi yakitangazwa hayo maandamano ntajitahidi nisife mapema,angalau nife na kina nyie kama mia mbili hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…