Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

Dem wangu mnyarwanda sasa na mwez wa 10 nilipanga ndoa. Sasa jk togwa ananitilia inzi daaaahhh

Hatuna tatizo naye! Wewe ni Mtanzania unajua SIRI ndani Ya Utanzania! Wewe ni Mzalendo na mpenda Utaifa wake. Akupende na kuamini kile unacha amini .. All will be-Settled.

AMRI YA USALI NI HII!!

UKILETA UHAINI TU! Watakutafuta Mbinguni, Jehanam na Duniani hutapatikana KWANI-UTANZANIA-SIO KITU CHA KUSALITIWA AU KUFANYIWA MCHEZO!!! NA HILI LIKAE VICHWANI MWA WATU MAPEMA KABISA!!!!​


Usaliti na uhani kwa Utanzani ni Jambo lisilokubalika katika hali yeyote na hii ni kulingana na chemistry yote ya uasisi wa Taifa hili. Usaliti haukubaliki Mtu akiwa hai au akiwa Mfu!! Drill this-m-to her mind and she is fine we all Love Her!-

Tunaimba kila siku Mungu Aibari Tanzania ... , Akuimbie ukiwa unamtizama Machoni uone kama ana Dhati ya matamshi na sauti!!
 

Amen, nafarijika sana kuna watu wenye asili ya ukarimu na siyo wale wanaoigiza ukarimu....naahidi kuondoka kwa wanyarwanda hakutaongeza au kupunguza kitu chochote kwao....tatizo kama ni majambazi si wangesakwa?hainashida yote tisa...halitasalia jiwe juu ya jiwe..BYE BYE!I LOVE ALL TANZANIANS even those who are tormenting me because i dont belong to chaga,sukuma,haya,etc tribes
 

watanzania wangapi wana-birth certifaicates au national IDs?acha ushabiki wa kijinga....nenda kijijini kasomeko huko busanda uliza hiyo document ukiipata njoo nikupe laki...
 
hawa jamaa pamoja na kuingia kinyemela lakini bado wanafanya uharifu wa kutisha wameingoa na makundi makubwa kweli ya ng'ombe cha kishangaza ukiwasogelea na ving'ombe vyako vichache lazima wakufanyie kitu kibaya kuua kwao ni kitu cha kawaida wale ndo wanaongoza kwa kufanya ujambazi kwenye mapori ya biharamulo
Ningekuwa mimi ndo JK ningewapa siku nne tuuu wawe wameshaondoka
 
Bandugu nitasalimika? Maana nafananafanana na akina kagame ati mweeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
 

But there is Hope,amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu,Tegemeo lako ni Yesu kristu,we are at the brink of eternity.the end of the age is right at the corner cause the antichrist is already on here akisubiri muda wake ufike.Kuna tumaini la nchi ambayo tumeandaliwa yenye barabara ya dhahabu.soma spiritlessons.com pia sikiliza huu wimbo .
amini katika Yesu kristo yeye ndiye mkweli na wa kumtegemea.
 
kwa wakenya sisi tutaumia maana watanzania ni wengi sana kenya wanafanya biashara ndogo ndogo
....Mkuu siyo dhambi kwenda sehemu yoyote ile kutafuta maisha......kitu cha umuhimu ni kufuata taratibu/sheria za sehemu hisika.......hata kama watanzania wapo Rwanda kinyume cha taratibu nao ni sahihi wachukuliwe hatua.......Wengi wanadhani mh Rais kawafukuza wanyarwanda la si hivyo......Agizo lake liko wazi kabisa kwamba walioingia nchini isivyo halali wajiondoe wenyewe kabla ya operation kuanza......Rais wetu anahuruma sana.....anawavumilia wahalifu wa kila aina.......
 
duu! hizo sehemu ni ushaidi tosha. nitatuma vijana wangu kuangalia kama kuna haki za binadamu zinavunjwa kwenye zoezi ilo.

Huna lolote Wewe, umtishi mtu yeyote hapa. Huna cha kutuambia sisi na Taifa letu. Tunatekeleza sheria za nchi yetu kwa usalama wetu. Nenda Kivu DRC ukaone Dictetor Kagame alivyo poteza Uhai wa watu, wengine kuwasababishia vilema, wengine kubakwa nk. Kama wewe kweli unajari haki za binadamu, tokea hali hiyo iwepo ulichukuwa hatua gani kuwasaidia au kukemea?. Mashirika ya kimataifa yamesha toa ripoti za kudhibitisha ushiliki wa Kagame kuendesha vitendo viovu DRC. Au Wakongo si watu mbele ya nyinyi wa Kagame?. Kama huyo bwana ako Muuaji Kagame ndio amewatuma muandike utumbo huu wa kingese. Mwambie yeye ni kiazi tu kwetu.
 

Mkuu acha kupotosha jamii!Hakuna nchi hata moja duniani ambayo haina taratibu zake kwa watu wa nchi nyingine kuzifuata ili waishi nchi husika.Mara ngapi wahamiaji haramu toka Africa wanatimuliwa Italy,spain na hata Israel,kwanini watanzania tukifanya hivyo ionekane ni kitu cha ajabu?? Intelligency ya tanzania imeona kuwa matukio ya ujambazi na migogoro ya ardhi maeneo tajwa yanasababishwa na idadi kubwa ya wahamiaji haramu sasa wasichukue hatua kwenye nchi yao?? Hebu tupishe tafadhari
 
Hapa umezungumzia UHAINI, KUPIGANA VITA au UZALENDO?, na hivi vinahusiana nini na topic?, au wewe unapenda sana vita?
 

Bora useme wewe, ngoja aje kukujibu tuone.
 

Hatukatai kushirikiana na wenzetu wa nchi jirani, tunapenda sana! Lakini ndugu yangu hawa watutsi si watu, wana mambo ya kichinichini sana, wana mipango haramu, ni wabaguzi kwa kujiona wao ndio wenye haki ya kutawala popote..angalia Uganda na hiyo rwanda yenyewe. Kwa hiyo ni kuwasaka popote walipo na kuwarudisha kwao...la kama wataendelea kuwepo hapa waangaliwe kwa jicho la tatu!
 
Target ya tutsi ni to east africa kwa siku zijazo by penetrating else where around e.a,kwa akili ndefu ya kagame it may be alread spread money to his people to buy land as much as big as possible to extend its future reign(wazo la kufirika tu au kutafakari)
 

Tatizo ni tabia zenu watutsi, isingekua hivo haya yote yasingetokea. Mmelikoroga wenyewe na huyo mungu wenu kagame. By the way, we ddnt say we gonna gain anything by yr relocation to rwanda; our aim is to live with peace loving people lkn sio nyie war mongers, watu mliojaa chuki na dharau na kuwaona wengine si binadam. Tunajua mipango yenu miovu..so muondoke tuuu. Hatuna haja na upendo wenu wa kinafiki...eti " I love all Tanzanians" kwann usiwapende wahutu ambao ni raia wa kwenu? Acheni unafiki...tunawajua fika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…