Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

Amounts to forcible eviction. Busara za uongozi zipo wapi?
 
Waache waende kwao na hata Wtz waliopo kule warudi home wasije kunyanyasika bure.
 
Kumekucha xaxa!ni jukumu la mamlaka ya uhamiaji nchini kote kuwachunguza kote tanzania kuhusiana na uhalali wao wa kuishi tz,mostly are smugglers
 
Hivi wewe ni intarahamwe au banyamulenge? Nina shaka na uraia wako

mim ni mtanzania ni vile unijui. pia ni mtetezi wa haki za binadamu.najua awa wageni wanavyopata shida ndio maana ata clinton aliamua kuwapata visa ya miaka 10 kwa kila mnyarwanda anaoingia marekan adi leo.

na kama mnafanya kupunguza ujambaz hao raia wanaowaibia pesa kila siku kwa kutumia pikipik ni wagen pia! !

mim ni mtetez wa haki za binadamu. na shirika langu liko DC
 
nje ya nini?? chumba, nyumba, zizi, au?? em funguka tukuelewe
 



Hapo namba tatu hapo hilo ni bomu lingine litakalolipuka siku za usoni. Na hivi kila kitu tambarare basi wanajiendea popote tu hawa wahuni.Mbaya zaidi wengi wao wanamiliki silaha za kivita.Ni tatizo kubwa sana ambalo serikali ilifikirie pia wakati wanawaondoa hawa watu kuwarudisha kwao.
 
wasomali wanaotumiwa na ccm kama green guard wataondolewa nchini lini......
 
Shida yangu kubwa na hawa jamaa ilikua ni uharibifu wa mazingira uliokuwa ukifanywa na mifugo ya hawa jamaa na silaha walizikua wanaingiza nchini na kutumiwa kwa ujambazi
 
Naamini wanyarwanda watajutia mifugo yao, wamejazana wakifuga maeneo ya vijiji vya Mavota, Nyakayenze, Nyakanazi, Nyantakara, Msalabani,Lusahunga, Runzewe, Nyampalahala...vyote vyapatikana wilayani Biharamulo. Na wanachungia mifugo yao katika pori la hifadhi la Biharamulo japo siku hizi Maliasili wameweka kambi hapo walau imepunguza kasi zao.

Kagame alisahau ihsaan zote na uhuru waliofanyiwa na Tanzania.

Kahama na Mwanza pia wamejaa, ningeshauri uhamiaji wangeanza kusimamisha mabasi na kufanya ukaguzi.

Pale Dar (Ukonga na Kitunda) pia wametapakaa sana, nawajua wengi sana eneo hilo na wamejiimarisha kwa kujenga.

Ukiingia mgodi wa Tulawaka, kwa wale vibarua wanaojishughulisha pale wengi wao ni Wanyarwanda. Wanaoongoza kwa uporaji na kuuliwa na askari wa mgodi huo...wengi wao ni wanyarwanda.

Wanaoongoza utekaji magari na hasa mabasi eneo la mkoa wa Kigoma, Kagera na Geita...ni wanyarwanda. Nimeyashuhudia hayo.

Pale Katoro, wanaoongoza kujishughulisha na pilika za biashara wapo wanyarwanda wengi tu pale. Ukienda kwenye mgodi wa Nyarugusu na pori lote la hifadhi wa mlima kati ya Katoro-Geita...wanaofugia msitu ule ni wanyarwanda.

Ukienda Ilemela kule wanapouza mbao...wanaoingiza na kusafirisha mbao wengi wao ni Wanyarwanda na nawajua sana.

Ukiwa eneo moja katika kijiji cha Mkunkwa pale wilayani Biharamulo...asilimia 50% ni wanyarwanda.

Serikali ingeomba msaada hapa JF tuwaonyeshe mahali zaidi, au ifungue link maalum tuwape muongozo.
 

Suala sio ubaguzi.
Tunataka waishi nchini kisheria kwa maana ya kwamba:-
  1. Wasajiliwe kama wakimbizi ili wapewe hadhi ya ukimbizi au
  2. Waombe uraia na kuanza kuishi kama Watanzania wengine au
  3. Waombe kibali cha kuishi nchini (work permit) ili waishi kihalali au
  4. Waombe kibali cha kuja nchini kama watalii

Hao anaowaongelea JK hawana hadhi yoyote kati ya hizo tatu hapo juu (wanaishi kinyume na utaratibu), kwa maana kwamba ni wahamiaji haramu, hivyo tunataka warudi kwao. Kama wanataka kuishi nchini basi watimize masharti ya kuishi nchini.
 
Ata mm ningetafsili hivyo,hatujatumia busara ktk hili.Hatutakiwi kukurupuka kwa jazba kwenye ishu za kimataifa kama hizi.Tumezungukwa na wahuni hivyo tunatakiwa kuwa makini sana.
 

Ushahidi mzito sana huu!!!
 
Duh watz katili sana, kwa nini mnawabagua? Kwani kama ni waharifu wasichukuliwe sheria tu? Kauli ya rais haikuwa nzuri hata kidogo.
Ila kauli ya Kagame ndiyo ilikuwa kauli nzuri? banyamulenge utawajua tu!
 

Waondoke bwana, tangu lini mkimbizi akaishi uraiani? Hao ni wahamiaji haramu! BIG UP JK! Nilikuona ulivyowapa za uso idara ya uhamiaji. Angalau Wasukuma watapumua kule Buligi!
 


Lakini si tunaambiwa kua Rwanda kuna maisha mazuri kuliko Tanzania iweje sasa wahangaike kwenda Dar,Arusha na Mikoa mingine badala ya kwenda kwao kwenye maisha mazuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…