Tamko la Makonda Mkuu wa Mkoa Dar halitendewi haki

Tamko la Makonda Mkuu wa Mkoa Dar halitendewi haki

Uliyeleta uzi ungekuwa mbele yangu ni bakora tu,, RC DSM aje kufanya nini wakati keshatupa maagizo tuongee na familia zetu tumalizane kabisa,,,, sasa hao jamaa wanao weka vikundi we shika tandika makofi tutakuja kukutoa central usijal


Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna uongozi wa mtaa kama kuna shida areport huko kwa balozi au mwenyekiti aa mtaa.
 
Huu ugonjwa Mwenyezi Mungu atulinde tu sasa Dunisni inatosha.
Leo nilifanya safari ya mbezi kwenda chamanzi, kilichonisikitisha ni akina mama wanaonyonyesha watoto, wakiwa na watoto wao, kuona tukipanda nao daladala, na wala hawana shaka.

Dada mmoja mwenye mtoto, nikamuuliza, unajikingaje wewe na mtoto na hili gonjwa la corona, huku ukiwa huna hata barakoa na hata mtoto.
Jibu alilonipa ni kwamba mtoto, ukimvisha maski hataki, nilichofanya nilimshauri tu apunguze safari safari za kizaramo, samahani, watani zangu wazaramo, ila mna safari nyingi sana, mengine malizene kwenye simu tu, wakati umebadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kweli tuna janga kubwa zaidi ya Corona hivi dada unafikiria kwa kichwa au kwa kile kiungo[emoji1787][emoji23][emoji2960]
Unayajua Sana matusi eeh! Waulize wenzako humu jf na lumumba hapo wananijua vyema vile nisivyo na staha! Karibu!
 
Back
Top Bottom