TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

Naona Kiongozi wa Maasi kaingia mitini na kutuacha makamanda stranded....nafikiria kumpindua Erickb52 then nakuja kuuchukua uenyekiti wa Baba V...

Uishie hapohapo kwa erick kwangu usithubutu, ntakurudisha umri nyuma hadi ubaki na miaka 7 ukose raha za ukubwani..
 
Last edited by a moderator:
Noted the copy to me! Ughonile kikolo!

Ndi nkafu kikolo, ujhongile fijho nkamu.. Nilikuwa namuweka sawa huyu dogo anarukiarukia tu vyeo, nikasema "uti to...!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…