Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
mimi na wewe best!! Hatuaminiani?
Last edited by a moderator:
mimi na wewe best!! Hatuaminiani?
kwa mume wangu HAPANA tuta aminiana kwa vitu vingine
What is NOT right here??
kumbe mkuki kwa firechair eeee,naona umesahau
hahahaaa best kwani pale si tulikuwa tunazugia? Sasa huyu ni wamoyoni atii, ukimchomoa tu uhai sina!
Mhhh sweet tena..... Lady doctor kuwa makin wii
Usnambie hukujua kama yule pia wangu wa moyoni,,,,,ila ucogope....cha mtu hakiliwi na chuma
wii usiwe na shaka mume wangu huwa hadanganyiki ovyo na anaheshimu sana ndoa yake
Nakupa tahadhari maana wanaanzaga hivi hivi hawa sweet shemeji sweet shemejii
Mwishowe Shemeji zima taa.........
thubutu yake nitampiga kisayansi
mhhh sweet tena..... lady doctor kuwa makin wii
wii usiwe na shaka mume wangu huwa hadanganyiki ovyo na anaheshimu sana ndoa yake
si ndio maana nikakuachia!? Halafu mpe salam zangu aisee mwambie nampenda!
nakupa tahadhari maana wanaanzaga hivi hivi hawa sweet shemeji sweet shemejii
mwishowe shemeji zima taa.........
thubutu yake nitampiga kisayansi