mmeamkaje? Mbona nilituma hamkunipigia?
bado tumelala antie, kwani huko uliko leo ni jumangapi?
jumapili
Dogo tumechoka kuheshimiana ee...!!?? ohooo.... utalia... nani anachokinena...!?
ayaaa leo hapa ni alhamisi, tuko nyuma siku 3 aisee lol...!!
Hii nimemfowardia Uhuru Kenyatta, jiandae...
bas kwaheri
He! Yeshakuwa hayo tena? Si ungeniambia nije huko Jumapili kuliko kuniacha 3 days behind?
uende wapi???
Eti ameniambia kuna nchi inaitwa Jumapili niikataka niende kutalii.....au ananiingiza chaka?
Tangu ulipohama Buguruni Mnyamani ukahamia Planet Mubiru umeharibika sana arif. Au nikupe kitu cha arachuga uchangamshe medula oblangata mkuu?
he! Yeshakuwa hayo tena? Si ungeniambia nije huko jumapili kuliko kuniacha 3 days behind?
uende wapi???