TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

...Basi si kosa lako ila nitumie namba yako kwenye PM nikupie uongee naye.mwenyewe ndio utaamini.

honey mwambie aamini tu jamani kuwa mie ndie nakumiliki ndani na nje ya mjengo huu wa Jf.

Cc: Queen Kan
 
Last edited by a moderator:
...Basi si kosa lako ila nitumie namba yako kwenye PM nikupie uongee naye.mwenyewe ndio utaamini.

Mgonjwa yuko mashakani, wameanza kuombana namba!?, angalia hapo kwenye kuombana wasije wakaweka "t" itakuwa imekula kwako Lady doctor...
 
Last edited by a moderator:
najua Queen Kan hawezi nigeuka na Arushaone hawezi nisaliti!!!!! Halafu mwenyekiti nimekumiss ujue!

Ni vizuri kuwa na matumaini, huyo Queen Kan ana hasira za kuporwa mume, jana alikuwa anaulizia maduka wanayouza nyembe kwa jumla ili akamfanyizie mbaya wake, angalia asijepumzika kwenye usingizi wako wakati anatafuta solution ya ndoa yake. Mi mwenyewe nimeku miss hadi balaa, weekend nikutafutie wapi, bosi wangu kule ninakolinda godauni atanilipa malimbikizo yangu kesho. Sema nikupeleke wapi usahau maumivu ya kuugua.

Kwa hisani ya Arushaone.
 
Ngoja nipate ruksa kutoka kwa mahabuba wangu Arushaone.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom