muangalie na mumeo nae, usikute yeye ndo hajui zip inafungwaje..
Huyo kwisha habari yake... hapo anajiskia kizunguzungu na kichefuchefu...
hahahahaaa...! Unataka umzibe mwenzio kitendea kazi nini!?
yeye si amechoka kutumia miguu kutembea, sasa nataka atumie kichwa kutembea
una maana hivi au?
![]()
hii inaitwa sirshasana kwa wale wenzangu na mimi wenye black-belt wanajua.
haswaaa shem wa mie,.......pole na mgonjwa ingawa sina hakika sana kama wewe ndio muuguzaji!
Inafahamika kwa wenye SHODAN tu ee?
Alianza yeye sisi tumemaliza..