Tamko la Mwenyekiti wa Simba, Mangungu kuhusu matokeo ya Dabi

Tamko la Mwenyekiti wa Simba, Mangungu kuhusu matokeo ya Dabi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
 
Kajibu vizuri sana ila hata sisi yanga tungependa msimu ujao Simba walete mwenyekiti mwingine huyu tumechoka kumbuka tumeshamfunga
Vunja bei
Sanda
Try again
Mo
Mangungu
Kajula
Zubeida
Barbra
Makocha lundo na Sasa Fadlu
Na NBC mwakani waje na design nyingine ya kombe liwe na udambwidambwi
 
Mangungu anavyowaangalia mashabiki wa madunduka...
Screenshot_20250626_120640_WhatsApp.jpg
 
Mangungu ameiuza Simba kwa ahdi ya ubunge toka kwa mwenyekiti wake. Ameshinda Mangungu ,imeshinda Yanga.
 
Hivi huyu Mo msenge ashashindwa kuweka watu wake wakachukua hizo nafasi kama GSM alivyo fanya yanga
 
Back
Top Bottom