Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yupo sawaMwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
View attachment 3384357
Kwa pale simba ni ngumu,,maana mwenyekiti anachaguliwa na wanachama na anaweza asiive na Mo kama ilivyo huyu.Hivi huyu Mo msenge ashashindwa kuweka watu wake wakachukua hizo nafasi kama GSM alivyo fanya yanga
Ndio ameshindwa kusimamisha Mtu wake akachaguliwa na wanachama kama GSM alivyo fanya kumuweka EngineerKwa pale simba ni ngumu,,maana mwenyekiti anachaguliwa na wanachama na anaweza asiive na Mo kama ilivyo huyu.
Amesahau alimuweka Babra akafauluHivi huyu Mo msenge ashashindwa kuweka watu wake wakachukua hizo nafasi kama GSM alivyo fanya yanga