Tamko la Padre Kitima na changamoto ya Korona dhidi ya Usalama wa Nchi: Tunakwenda wapi baada ya hapa?

So what? Does it defeat science? what is the difference between uzinifu and vumbi na hewa in the hands of the laboratory? Another rubbish supporter.
You very foolish person you support adultery but you don't care about your health,useless man.
 
Nakuunga mkono! Padre hana dhamana ya kutoa taarifa za ugonjwa wa corona na anajua hivyo. Huu ulikuwa ni UASI wa wazi kwa mamlaka ya nchi.
Kuasi mamlaka ya nchi ni kumwasi Mungu!! Wasome Biblia!
Kwa sababu nchi ilikuwa inaendeshwa na mtu anayeamini ushirikina, Padri ilibidi aingilie kati, angalau sasa hivi vifo vimepungua baada ya watu kuanza kujilinda

Padre Kitima ni shujaa na muda umethibitisha Hilo baada ya yule aliyeongoza kuibeza Corona naye kumezwa na mchanga
 
Padre alikiuka muongozo wa nchi kuhusu itifaki ya utoaji taarifa kuhusu ugonjwa wa UVIKO. Tiini mamlaka za nchi kwa maana nazo zimetoka kwa MUNGU WA MBINGUNI
Nchi ilikuwa inaendeshwa na mganga wa kienyeji
Ambaye nae keshamezwa na udongo kwa kujitia ujuaji, padre Kitima ni shujaa na muda ume prove hilo
 
So what? Does it defeat science? what is the difference between uzinifu and vumbi na hewa in the hands of the laboratory? Another rubbish supporter.
Hapana, hebu rudini kwenye mstari wa urazini.

Hoja yenu iko hivi:

1. PPE ni nyenzo za lazima mahali pa kazi.*

2. Baadhi ya kazi ni haramu kimaadili (kama vile sex-work) wakari kazi nyingine ni haramu kisheria (kama vile kuiba kwa kutumia silaha ukiwa umevaa bullet proof)

3. Je ni halali kutumia PPE kwenye kazi ambazo ni haramu kimaadili na kazi ambazo ni haramu kisheria?

Hata hivyo, mjadala huu ni nje ya topiki ya bandiko hili.

Hivyo, nashauri anzisheni uzi mpya na kujadili kirazini.

*NB:

PPE is a generic name for the protective covers professionals use to do their job, healthcare workers included. Welders use gloves and welding masks. Electricians use protection goggles, rubber boots and fall protection harnesses. Construction workers use helmers. Adult movie stars use condoms. For all, using PPE is mandatory, otherwise safety officers will throw them off the job.

Healthcare workers have their own specific PPE. Gloves and gowns, sometimes sterile, prevent contact transmitted diseases, like scabies and C. Diff. Diarrhea. N95 respirators are unique masks preventing the spread of airborne germs like TB. Surgical masks prevent droplet-transmitted diseases like the flu.
 
Tunazungumzia barakoa wewe unasema PPE. Tunasema kondom wewe unasema kazi haramu. Kwani wataalamu walishauri kondomu kwa makahaba tu?
 
Ukuta unaotenganisha mwili na roho ni mkubwa na impermeable kiasi gani?
@Mama Amon Ukiachana na ukuta kuna kitu kinaitwa weledi, kila mtu ana majukumu yake anayopaswa kuyatolea ufafanuzi. Ukiona Padre anashupalia hali ya usalama na UVIKO 'something is wrong '
 
@Mama Amon Ukiachana na ukuta kuna kitu kinaitwa weledi, kila mtu ana majukumu yake anayopaswa kuyatolea ufafanuzi. Ukiona Padre anashupalia hali ya usalama na UVIKO 'something is wrong '
Kazi ya kila Padre ni kuongozi roho za waumini wake ili siku ya hukumu waweze kuingia mbinguni katika ukamilifu wao wa mwili na roho.

Mwili na roho ni kitu kimoja (hylomorphic unity) kisichotenganishika.

Kwa hiyo, ni sawa kwa padre kusimamia usalama wa uhai wa waumini wake.

Kuna tatizo hapo?
 
Tunazungumzia barakoa wewe unasema PPE. Tunasema kondom wewe unasema kazi haramu. Kwani wataalamu walishauri kondomu kwa makahaba tu?
Barakoa, kondomu, gloves, etc ni PPE.
Kuna uharamu wa kimaadili na uharamu wa kisheria
Uharamu wa kimaadili/kisheria unahesabika ndani ya Ulimwengu X wenye parameta kadhaa
Mfano katika ulimwengu wa maadili katoliki, kutumia kondomu ni haramu kila mahali, kila wakati na kwa kila watianaji.
Hapo vipi?
Tuko pamoja?
 
Pole sana na kuigiza usomi wa dini.
Katoliki haina neno kondomu ktk amri zake. Biblia haina neno kondomu mstari wowote. Na, maadili hayawezi kutungwa na kiongozi, ni makubaliano ya kijamii.
 
Nakuunga mkono! Padre hana dhamana ya kutoa taarifa za ugonjwa wa corona na anajua hivyo. Huu ulikuwa ni UASI wa wazi kwa mamlaka ya nchi.
Kuasi mamlaka ya nchi ni kumwasi Mungu!! Wasome Biblia!
Daniel aliasi mamlaka ya nchi akatupwa kwenye tundu la simba. Mungu akaasi mamlaka ya nchi akafunga makanwa ya simba kumlinda muasi mwenzie. Shadrach, Meshach na Abednego waliasi mamlaka ya nchi wakatupwa kwenye tanuru la moto. Mungu kawaokoa pia!
Petro aliasi akatupwa gerezani chini ya ulinzi mkali. Usiku Mungu akatuma malaika akamtoa. Nani asome Biblia? Sayansi imekushinda, Biblia huiwezi.
Unajitoa ufahamu kujipendekeza kwa mtu? Amelaaniwa amtegemeaye mtu! Uliyemtegemea ndio kama hivyo tena ni marehemu.
 
Uko sahihi Mama Amon! Padre, Askofu, Mchungaji etc. ni kiongozi wa kiroho na wa kimwili pia. Ana jumuia kubwa ya watu ambao wanamtegemea kwa maombi, ushauri na faraja wakati wa matatizo. Nafasi yake katika jamii inamfanya apate taarifa nyingi za waumini, ambao pia ni wananchi, pengine kuliko haata viongozi wa kisiasa kwani yeye ndio first point of contact, comforter in chief, kwa waumini wengi wanaopitia changamoto mbalimbali za kimaisha. Hivyo ilikuwa ni sahihi kabisa kwa Padre/Askofu Kitima kutoa taarifa, ushauri, na tahadhari ya Covid-19 kwa waumini na wasio waumini wake ili kuokoa maisha yao, yeye na wenzake nchi nzima wameuona uhalisia wa tatizo kwa waumini wao.
 
Mkuu kuna faida nyingi za kusoma biblia,
 
Rekebisha title yako kwanza. Lile ni tamko la BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA sio la Fr. Kitima.
 
Padre alikiuka muongozo wa nchi kuhusu itifaki ya utoaji taarifa kuhusu ugonjwa wa UVIKO. Tiini mamlaka za nchi kwa maana nazo zimetoka kwa MUNGU WA MBINGUNI
Poor understanding! Lile ni tamko la BARAZA LA MAASKOFU sio la Fr. Kitima.
 
Jamaa yupi? Kusoma si hoja sana. Tafsiri ndiyo hupotosha maandiko! Funguka tuione tafsiri yako. Onyesha wapi kapotosha.
Anaposema Danieli alimkosea Mungu,akatupwa kwenye tundu la simba,Meshack,Shadrick na Abednego walimkosea Mungu wakatupwa kwenye tanuru la moto.
 
Anaposema Danieli alimkosea Mungu,akatupwa kwenye tundu la simba,Meshack,Shadrick na Abednego walimkosea Mungu wakatupwa kwenye tanuru la moto.
Jamani, jamani nani kasema hivyo? Daniel aliasi mamlaka ya nchi na Mungu akamwokoa na hiyo mamlaka iliyotaka kumuua. Kwa madai yenu ya kila mamlaka kutoka kwa Mungu, hapa Mungu mwenyewe anaungana na muasi wa mamlaka kutoka kwake. Wapuuzi sana mwasema kuiasi mamlaka ni kumuasi Mungu. Mkome haraka kabla Mungu mwenyewe hajawakomesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…