Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Una akili ndogo sanaNakuunga mkono! Padre hana dhamana ya kutoa taarifa za ugonjwa wa corona na anajua hivyo. Huu ulikuwa ni UASI wa wazi kwa mamlaka ya nchi.
Kuasi mamlaka ya nchi ni kumwasi Mungu!! Wasome Biblia!