Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

Marekani wanyamaze kabisa la sivyo tutapeleka vikosi maalum kuwashughulikia.
 
Even in the US there's no democracy

True! Besides, Western countries have no moral authority to lecture anyone on human rights. They have bombed and killed more innocent people than any other country in the world. Moreover, through meddling in other countries’ affairs, they have destabilized so many countries!
 
Nyinyi Marekani amueni moja tumechoka matamko ya kila siku
Unataka watume manuali kubwa au nyambizi kubwa tano? Waje usiku kimya kimya kisha drone na Ndege zisizo na rubani ziingie kazini
 
Unataka watume manuali kubwa au nyambizi kubwa tano? Waje usiku kimya kimya kisha drone na Ndege zisizo na rubani ziingie kazini
eeee ayo ndio maneno tumechoka rumbelele nyiiingi mikwala kibao bila vitendo Marekani bhana amueni moja tujue
 
Mkaandamane mbona hamjaenda ma keyboard warrior............si rais wenu Lisu alishawaambia mchukue hatua au mnataka wamarekani ndo waje kuandamana kwa ajili yenu
Kwani wana wanachama wa kuandamana kama wa kupiga kura hawakuwepo? Maana hata wakihimiza watu kuandamana hakuna atakayefanya hivyo.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Kama una akiba sasa hivi itineraries. Vikwazo vya uchumi vikianza tutauza mpaka mabanda ya kuku.
Siku USA hana ubavu tena wa kuweka vikwazo, unaweka vikwazo china mrusi na Irani wanakuja kufanya biashara. Burundi tangu 2015 iliwekewa vikwazo inaendelea mbele maana majirani hawatekelezi vikwazo.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Matamko haya Yana umuhimu gani?
Vikwazo kama vya Zimbabwe hadi leo nchi ile haijakaa sawa.Bado tu tegemezi tunadaiwa trions za fedha kwa miradi mbalimbali. Bunge la Chama kimoja halina tija ita kuwa ndio mzee.Si umeona upinzani imepiga kelele kuhusu bima ya afya, ndipo tumehaidiwa kupewa nchi nzima.Hakuta luwa na kelele
 
View attachment 1615696

Andamaneni pale ufipa mnazunguka nyumba ya kupanga.
Hiyo ndiyo ofisi inawakosesha usingizi CCM mpaka kupelekea kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji kuwapiga risasi kuwahujumu kuwadhoofisha chadema, hivi je? Wangekuwa na ghorofa si wangeweza kuwatuma jwtzccm walete mizinga na Ndege za kivita
 
Hivi unaelewa unachoandika? Sijafananisha Tanzania na US, nimesema hata huko Marekani wao hawana democracy wasiingilie uchaguzi wa nchi nyingine. Bado hujaelewa tu?
 
Safi sana, afadhali wewe una upeo wa kuona mbali. HAKUNA nchi ya West inayoitakia Afrika mema kama ipo si kivile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…