Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!😂😂😂😂

Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona

Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!

Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!

Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu

View attachment 1586980
Mungu wabariki Wazungu
 
wangeanzia uganda ambako museven anatawala mwaka wa 100 sasa ndo ningeawaamini hao wamarekani, au rwanda ambako kagame anaua wapinzani mchana kweupe au unabambikwa kesi
Watu tunaongelea Tanzania we unaleta habari za uganda mwaka gani Uganda walikuwa nchi ya kidemocrasia? Wakarudi kwenye udicteta Kama Tanzania?
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!😂😂😂😂

Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona

Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!

Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!

Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu

View attachment 1586980
Anyway....Nyani haoni kundule......Trump mwenyewe anaogopa kaibiwa kura.........wangeanza kwao kwanza.

Hashimu Rungwe our new President
 
ccm yatari inaushindi wa kutosha, leo ngome ya chadema imebomolewa kule tunduma na wamekutwa na ubadhilifu wa 2.5billion za miradi ya maji. Piga kelele kwa Ng'wanasusana yakeeeeeee!!!!Mkutano umekwisha watu wanachoma nyama na kusherehekea mafanikio ya miaka 5, tuko huko na jirani zetu wa Zambia. CCM hoyeeee
Bilion 2.5 we ni mpumbavu Sana toka lini chadema wakawa na Hazina na TRA?
 
Kuna msemo wa mabeberu kuwa waafrika hatuwezi kujitawala na wakipewa silaha hupigana wenyewe kwa wenyewe. Kuwaonesha kuwa hiyo siyo kweli, tunatakiwa kuheshimiana, kufanya uchaguzi huru na kwa uwazi bila upendeleo au kutumia silaha dhidi ya wengine.
Vyombo vya dola vijaribu kuepuka kuthibitisha mtazamo huo wa mabeberu.
Ni muhimu kwa viongozi walio madarakani na wale wa vyombo vya dola kujua kwamba watanzania wanapendana na fujo husababishwa na ubinafsi wa viongozi wa serikali, vyama vya siasa, vyombo/taasisi za uma na viongozi wa dini.
Ubinafsi husababisha upofu dhidi ya haki.
 
Hao wapumbavu sana.wanamtisha nani? Ndiyo maana wameanzisha uasi msumbiji na Somalia ili watunyemelee sisi?
 
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?



Wewe hujui kiingereza haya punje. Wapi amesema kama ulivyosema? Bure kabisa!
 
Washington, DC — The ranking Democratic and Republican members of the U.S. House Subcommittee on Africa are packing a resolution urging the government of Tanzania to respect human and economic rights and to conduct free and fair elections on October 28.

House Resolution 1120 - sponsored by California Democrat Karen Bass, who chairs the subcommittee, and the ranking Republican, Chris Smith from New Jersey - reflects growing concern over political and economic developments in Tanzania by members of Congress who follow Africa.

Since the election in 2015 of President John Magufuli, the resolution states, "Tanzania has adopted and enforced multiple repressive laws that restrict freedom of the press, and of expression, assembly, and association." Citing reports of corruption and harassment of U.S. companies operating in Tanzania, the resolution criticizes the government's "lack of respect for contracts and business operations that threaten future U.S. businesses investment and trade partnerships."

Protection of U.S. investor rights is an issue that enjoys bipartisan support, and there are several U.S. commercial disputes in the country at this time. But the driver behind this Congressional expression of concern is the government's nearly four-year dispute with Symbion Power, centered on the breach of a 15-year power purchasing agreement for the Ubungo power plant.

Symbion is a New York-based independent power producer that develops and operates projects in several African countries and has operated in the Middle East and Asia as well.
 
Sirro anaogopa kusema Tundu Lissu kafanya nini?
Kwa nini anazungukazunguka tu na mipasho na vitisho tele!

Sema watu wajue, akaripoti polisi kwa vitendo gani alivyofanya. Kuna ugumu gani kusema hivyo vitendo?

Hii inaonyesha ni mwendelezo tu wa kumbana Tundu Lissu kusaidia jahazi linalozama. Watu watayaona haya na wataamua la kufanya. Polisi hawana uwezo wa kuwazuia watu kufanya wanayotaka kufanya.
 
Duh..haya yote kasababisha jiwe siasa za chuki
Umenikumbusha mbali. Mama alitegeshewa jukwaa ili aumie ashinde kuendelea na kampeni. CCM Wenyewe kwa wenyewe hawaelewani.
 
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa wa kihistoria. Utakuwa ni Uchaguzi wa kihistoria kwa sababu ni Uchaguzi pekee ambao Wapinzani:-
-Wataangukia pua na meno.
-Watalia sana.
-Watapata kipigo cha Mbwa koko.
NB. JPM atashinda kwa ushindi wa Tsunami.
 
Matamko ambayo huwa wanaedit tarehe na mwaka tu.
 
View attachment 1586980


Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona

Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!

Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!

Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu

Taifa la machoko USA nani atalisikiliza zaidi ya Lissu mshadadia ushoga.?! Trump na Biden kwenye mdahalo juzi wameshindwa kujiheshimu na sheria za USA zimeshindwa kuwafanya lolote. Wananchi wa Marekani wamebakiwa na kushanga na kutanoa kwamba mdahalo ujao refarii wa kick boxing atafutwe aletwe kuuendesha.

Taifa la USA limegeuka kuwa taifa la hovyo dunia, hawana la kuwafanya Iran, North Korea ,China etc, wanechemka Afghanistan, Iraq Libya etc,. Watatufanya nini Tanzania? USA wanegeuka mbwa mbwekaji asiye na mbinu ingawa ana meno.

Waambie USA waje Tanzania, tuwafundishe jinsi ya kumtegemea Mungu na kuishinda covid-19.

Tutawafundisha kwa sharti moja tu wakane ushoga watubu dhambi zao, hivyo tu
 
Back
Top Bottom