lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Hawa hata Kama Ni maprofesa wakiwa ma CCM tu akili huondolewa na mwenyekiti.Una elimu gani kwanza ndugu?? Nijue kabisa elimu yako kabla sijaanza kukuelimisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa hata Kama Ni maprofesa wakiwa ma CCM tu akili huondolewa na mwenyekiti.Una elimu gani kwanza ndugu?? Nijue kabisa elimu yako kabla sijaanza kukuelimisha
Mungu wabariki WazunguHayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!😂😂😂😂
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu
View attachment 1586980
Watu tunaongelea Tanzania we unaleta habari za uganda mwaka gani Uganda walikuwa nchi ya kidemocrasia? Wakarudi kwenye udicteta Kama Tanzania?wangeanzia uganda ambako museven anatawala mwaka wa 100 sasa ndo ningeawaamini hao wamarekani, au rwanda ambako kagame anaua wapinzani mchana kweupe au unabambikwa kesi
Anyway....Nyani haoni kundule......Trump mwenyewe anaogopa kaibiwa kura.........wangeanza kwao kwanza.Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!😂😂😂😂
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu
View attachment 1586980
Trump kaibiwa kura na nani??Anyway....Nyani haoni kundule......Trump mwenyewe anaogopa kaibiwa kura.........wangeanza kwao kwanza.
Hashimu Rungwe our new President
Bilion 2.5 we ni mpumbavu Sana toka lini chadema wakawa na Hazina na TRA?ccm yatari inaushindi wa kutosha, leo ngome ya chadema imebomolewa kule tunduma na wamekutwa na ubadhilifu wa 2.5billion za miradi ya maji. Piga kelele kwa Ng'wanasusana yakeeeeeee!!!!Mkutano umekwisha watu wanachoma nyama na kusherehekea mafanikio ya miaka 5, tuko huko na jirani zetu wa Zambia. CCM hoyeeee
Utakuwa unafuatilia siasa za Tz pekee,jaribu na za duniani huko uone Donald anavyo lia lia......Trump kaibiwa kura na nani??
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?
Na wewe sh*ga unayeparamiwa umeuliza nini hapa?So wewe mwanamke umeandika nn hapa
Umenikumbusha mbali. Mama alitegeshewa jukwaa ili aumie ashinde kuendelea na kampeni. CCM Wenyewe kwa wenyewe hawaelewani.
View attachment 1586980
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]