Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Trum
View attachment 1586980

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona

Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!

Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!

Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu
Trump kawashinda watufutilia sisi wao n kina waende zao uko..wao hawana Demokrasia ndo tuwe Sisi
 
Kenyata na ruto waliwanunua mashahidi na baadhi ya mashahidi walikufa ndipo ushahidi ukakosa nguvu, kwa Tanzania ICC hawahitaji ushahidi wa binadamu video za polisi wakiamrishakupiga mabomu zipo wazi, video za IGP akipiga mikwara zipo ushahidi wa video zao ndiyo itatumika ICC, watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania lini wametishwa na ICC? Watanzania hawana Tatizo na ICC wenye Tatizo na ICC ni Polisi wanaotumwa na CCM kuwafanyizia ubaya wapinzani.

Huo mradi wa kutengeneza mazingira/mradi wa tabia nchi, kwa kutishia nyau umebuma. Mwambie Lissu JPM ni namba nyengine.
 
Hii ya 'Kuwababaikia' na 'Kujipendekeza' kwa 'Marekani' wakati nayo ina Mambo yake kuna Siku tu watawaombeni 'wawapakuwe' sijui mtawanyima!
Kwani marekani ikiwapa misaada CCM huwa masikini hwapo marekani? Kila Nchi ina shida zake lakini shida za wengine hutatuliwa pia
 
Huo mradi wa kutengeneza mazingira/mradi wa tabia nchi, kwa kutishia nyau umebuma. Mwambie Lissu JPM ni namba nyengine.
Namba ipi? Labda kwako binafsi na ukoo wako na wake, angekuwa ni namba ingine anayekubalika asingekuwa anatumia Polisi kuwapiga mabomu wapinzani
 
Sirro anaogopa kusema Tundu Lissu kafanya nini?
Kwa nini anazungukazunguka tu na mipasho na vitisho tele!

Sema watu wajue, akaripoti polisi kwa vitendo gani alivyofanya. Kuna ugumu gani kusema hivyo vitendo?

Hii inaonyesha ni mwendelezo tu wa kumbana Tundu Lissu kusaidia jahazi linalozama. Watu watayaona haya na wataamua la kufanya. Polisi hawana uwezo wa kuwazuia watu kufanya wanayotaka kufanya.
ICC tayari wameanza kuandaa jarada la IGP kupitia mikwara ya video yake kwa chadema
 
Namba ipi? Labda kwako binafsi na ukoo wako na wake, angekuwa ni namba ingine anayekubalika asingekuwa anatumia Polisi kuwapiga mabomu wapinzani
Una uwakika na shutuma unazo mpa kiongozi au ni balabala za kweny kahawa
 
IGP na mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi sasa ni Tawi rasmi la ccm na wameamua kufanya kampeni ya wazi bila aibu vyama taasisi za haki za binadamu Duniani zinawaona wasifikiri wamejificha kisiwani
 
Una elimu gani ndugu?? Unaijua Marekani au unaisikia tu??
Aendelee kusuguana na China. Mambo ya siasa za Afrika aachane nayo kabisa. Mwizi mkubwa na mvurugaji nani asiyejua alichofanya Libya.
 
Una uwakika na shutuma unazo mpa kiongozi au ni balabala za kweny kahawa
Wewe ndiyo blabla kijiweni uhakika wa shutuma upewe wewe ili iweje wakati wewe ndiyo kinara wa kuongoza wapiga mabomu wote
 
ICC imeandaa majarada ya wote walioamua kuisaidia ccm kutekeleza unyama wao
 
Namba ipi? Labda kwako binafsi na ukoo wako na wake, angekuwa ni namba ingine anayekubalika asingekuwa anatumia Polisi kuwapiga mabomu wapinzani

Nyie ndio mnao mdanganya Lissu aendelee kutukana na kunyanyapaa Polisi wenye mabomu ya machozi. Hayo yakikosea njia matokeo yake ni kama ya yule mwandishi kule Iringa, RIP.
 
Wewe ndiyo shoga hakuna aliyekutisha bali majarada ICC yameanza kuandaliwa usifikiri ni vitisho wakati boss zako wataenda jela mara baada ya uchaguzi mkuu

Tanzania mahakama ya ICC ilishakuwa na ofisi za tawi lake hapo Arusha, wewe hilo umelizingatia kabla ya kutishia huyo shoga robersoni Nchi hii si ya mchezo mchezo, bwashee.
 
Wewe ndiyo blabla kijiweni uhakika wa shutuma upewe wewe ili iweje wakati wewe ndiyo kinara wa kuongoza wapiga mabomu wote
So kila kitu afatilie yeye Kuna polic wapo Kuna wapelelz fikr potevu mikumbo ya kutofatilia ndo kinatuua
 
Back
Top Bottom