Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #161
Unadhani marekani ni sinza kwa mtogole au burundi eeh???Acha kuishi kwa uwoga rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani marekani ni sinza kwa mtogole au burundi eeh???Acha kuishi kwa uwoga rafiki
Sio kwa mtogole ni marekani pia ni bala lingine ila usipoteza mda wako kumuogopa mzunguUnadhani marekani ni sinza kwa mtogole au burundi eeh???
Trump kawashinda watufutilia sisi wao n kina waende zao uko..wao hawana Demokrasia ndo tuwe SisiView attachment 1586980
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu
Kenyata na ruto waliwanunua mashahidi na baadhi ya mashahidi walikufa ndipo ushahidi ukakosa nguvu, kwa Tanzania ICC hawahitaji ushahidi wa binadamu video za polisi wakiamrishakupiga mabomu zipo wazi, video za IGP akipiga mikwara zipo ushahidi wa video zao ndiyo itatumika ICC, watanzania wa wapi unawasemea? Watanzania lini wametishwa na ICC? Watanzania hawana Tatizo na ICC wenye Tatizo na ICC ni Polisi wanaotumwa na CCM kuwafanyizia ubaya wapinzani.
Kwani marekani ikiwapa misaada CCM huwa masikini hwapo marekani? Kila Nchi ina shida zake lakini shida za wengine hutatuliwa piaHii ya 'Kuwababaikia' na 'Kujipendekeza' kwa 'Marekani' wakati nayo ina Mambo yake kuna Siku tu watawaombeni 'wawapakuwe' sijui mtawanyima!
Namba ipi? Labda kwako binafsi na ukoo wako na wake, angekuwa ni namba ingine anayekubalika asingekuwa anatumia Polisi kuwapiga mabomu wapinzaniHuo mradi wa kutengeneza mazingira/mradi wa tabia nchi, kwa kutishia nyau umebuma. Mwambie Lissu JPM ni namba nyengine.
ICC tayari wameanza kuandaa jarada la IGP kupitia mikwara ya video yake kwa chademaSirro anaogopa kusema Tundu Lissu kafanya nini?
Kwa nini anazungukazunguka tu na mipasho na vitisho tele!
Sema watu wajue, akaripoti polisi kwa vitendo gani alivyofanya. Kuna ugumu gani kusema hivyo vitendo?
Hii inaonyesha ni mwendelezo tu wa kumbana Tundu Lissu kusaidia jahazi linalozama. Watu watayaona haya na wataamua la kufanya. Polisi hawana uwezo wa kuwazuia watu kufanya wanayotaka kufanya.
Una uwakika na shutuma unazo mpa kiongozi au ni balabala za kweny kahawaNamba ipi? Labda kwako binafsi na ukoo wako na wake, angekuwa ni namba ingine anayekubalika asingekuwa anatumia Polisi kuwapiga mabomu wapinzani
Aendelee kusuguana na China. Mambo ya siasa za Afrika aachane nayo kabisa. Mwizi mkubwa na mvurugaji nani asiyejua alichofanya Libya.Una elimu gani ndugu?? Unaijua Marekani au unaisikia tu??
Wewe ndiyo blabla kijiweni uhakika wa shutuma upewe wewe ili iweje wakati wewe ndiyo kinara wa kuongoza wapiga mabomu woteUna uwakika na shutuma unazo mpa kiongozi au ni balabala za kweny kahawa
Mkuu wekeni akiba ya maneno.Magufuli ni mstaafu wa siasa rasmi kuanzia November 2020
Namba ipi? Labda kwako binafsi na ukoo wako na wake, angekuwa ni namba ingine anayekubalika asingekuwa anatumia Polisi kuwapiga mabomu wapinzani
Mwizi kaiba nini??? Twende taratibuAendelee kusuguana na China. Mambo ya siasa za Afrika aachane nayo kabisa. Mwizi mkubwa na mvurugaji nani asiyejua alichofanya Libya.
Kuna mambo ya kuweka akiba ya maneno sio hiliMkuu wekeni akiba ya maneno.
Tulia tu dawa ikuingie vizuriTrum
Trump kawashinda watufutilia sisi wao n kina waende zao uko..wao hawana Demokrasia ndo tuwe Sisi
Sawa.Kuna mambo ya kuweka akiba ya maneno sio hili
Wewe ndiyo shoga hakuna aliyekutisha bali majarada ICC yameanza kuandaliwa usifikiri ni vitisho wakati boss zako wataenda jela mara baada ya uchaguzi mkuu
So kila kitu afatilie yeye Kuna polic wapo Kuna wapelelz fikr potevu mikumbo ya kutofatilia ndo kinatuuaWewe ndiyo blabla kijiweni uhakika wa shutuma upewe wewe ili iweje wakati wewe ndiyo kinara wa kuongoza wapiga mabomu wote