Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

hakuna jipya hapo
wanaweweseka mipango yao ovu kupitia kwa kubaraka wao lissu mpaka sasa imekwama,na siku zimeisha
hali shwari matamko ya nini?
Kibaraka wa ccm ni Polisi na Tume isiyo huru ya uchaguzi ndiyo chanzo cha vurugu Nchini wala siyo kingine
 
kwanini ajiapize kuja kushughulika na matatizo katika taifa huru lenye serikali yake na vyombo vyake vya dola, kipi hasa kinamvuta, tuamke watanzania hawa jamaa wasicheze na akili zetu.
Tena wanaonekana kutamani machafuko watimize azma yao, kwa Tanzania wamepotea njia.
"HAPA AMANI TU"
Kwenye kuomba misaada marekani huwa mnakuwa Taifa lisilo huru? Kwenye kuondoa ujinga wa Tume isiyo huru ya uchaguzi na ubabe wa Polisi Tawi la ccm ndipo hujifanya ni Nchi huru wakati kuna utawala wa kaburu mweus asiyetaka kukosolewa
 
Tulieni tu!! Mtajua hamjui mwaka huu!! Dadekiiiii

Freedom is coming😂😂😂
Hizo mbinu zenu mbona zinafahamika. Hivi mnaamini kabisa Serikali hii tena ya JPM inapiga usingizi wa pono? Nicheke mie khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeMsikilize Polepole alichosema ''mambo yanayofanyika ni ya aibu!'' Yote yatwekwa wazi ili Watanzania wayafahamu.
 
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?



Kila taasisi inajitambua nchini marekani
 
View attachment 1586980
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
In fact barua hiyo inaweza kuwa mbaya sana kwa LIssu; huenda ndiyo maana ameomba kukutana na mabalozi. Ni tofauti kabisa na zile barua zilizokuwa zinatoka miaka ya nyuma zinasema marekani iko "concerned" sana na mchakato wa uchgaguzi.

Badala yake wanazungumzia kuhusu "matamshi ya kichochezi" ambayo ndiyo nguzo kuu ya kampeini ya Lissu. Hasimami Jukwaani bila kusema magufuli ni mtu mbaya sana, ambayo ndiyo matamshi ya uchochezi yenyewe.
 
Ni mpumbavu tu ambaye hajaenda shule,hajaelimika na hana kitu kichwanu ndiye anayeweza kuwasemea Watanzania kuwa wana imani na CCM.
Kama uliona hata milango ya darasa basi utagundua kuwa kuna "umoja" na "wingi", na pia bila ya takwimu,huna haki ya kuongea.
Jizungumzie wewe.
Mimi naichukia CCM na nitarudi huko kwa ajili ya kuikataa kwenye sanduku la kura 28/20/2020.
#kura yangu yahesabika.
Ralax, halafu kunywa maji kidogo.
Ni mwerevu peke yake, ambaye amesoma katika madarasa yaliyojengwa katika ardhi yenye amani inayolindwa na serikali ya CCM, Ni mtu mwenye elimu anayeweza kuwasemea watanzania wengi ambao wameona Tanzania ikipata heshima kupitia kuingia uchumi wa kati, vilevile vituo vya kutolea huduma za afya zikifikia 1,798 nchi nzima.

Suala la Umoja na wingi lipo CCM pekee, chadema kuna mikusanyiko ya watu kwenda kumuangalia msekule wa siasa.
Narudia tena, Mimi na watanzania wengine tulio wengi tutamchagua Magufuli oktoba 28. Magufuli ni mafanikio
 
Marekani anajua fika JPM ndiyo mshindi na kule Zanzibar ni H.A.H.Mwinyi. Nchi sasa ziko mikononi mwa wanasayansi kule dokta wa binadamu huku DOKTA WA KEMIA. Hawa madokta wawili wanawakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa watu fulani, nchi inakwenda kupaaa
We fala kwani Dr Sheni hakuwa dokta wa binadamu? Kwanini nchi haikupaa
 
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?


Wizara ya Mambo ya kigeni tu inatosha kudeal na huyo ishu achana na Trump
 
Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesema nchi yake haimuungi mkono mgombea yoyote katika uchaguzi mkuu.

Cha muhimu serikali ya Marekani inataka kuona demokrasia inachukua mkondo wake na sheria za nchi na katiba zinazingatiwa na kuheshimiwa.

Source BBC

Maendeleo hayana vyama!
 
We jamaa utadhani ni wale watoto wa darasa la nne wanaangalia move pamoja
Lolote watalofanya mwaka huu wajue tu the world is watching. Askari wa dunia Marekani aneshatoa tamko, na leo bunge lao wameijadili rasmi Tanzania.

Najua kuna wanaume wanapasha mbele ya Mombasa hapo kuja kumchukua mtuhumiwa wao baada ya uchaguzi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kwa kuichukia kwako unataka kila mtu awe anaichukia?
Unajua maana ya kura?

Rais Magifuli atapata zaidi ya 79% huku Lisu akipata chini ya 20%
Unajua maana ya kura yangu yahesabika we bint k.laza?
Nimezungumzia mimi binafsi kuichukia CCM,wapi nimetaka kila mtu aichukie?
Kweli tupo binadamu na mpo binadamu mboji.
 
Unavodhani wewe hyo statement ya US Embassy itasaidia nin?
Hujui itasaidia nini??? Najua sio kosa lako ni kosa la elimu mbovu uliyopewa na hao Chama mfu CCM. Utajua tu badae ukiona matokeo ya ufedhuli wa magufuli wako na CCM yenu mkishirikiana na NEC
 
Back
Top Bottom