Kibaraka wa ccm ni Polisi na Tume isiyo huru ya uchaguzi ndiyo chanzo cha vurugu Nchini wala siyo kinginehakuna jipya hapo
wanaweweseka mipango yao ovu kupitia kwa kubaraka wao lissu mpaka sasa imekwama,na siku zimeisha
hali shwari matamko ya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibaraka wa ccm ni Polisi na Tume isiyo huru ya uchaguzi ndiyo chanzo cha vurugu Nchini wala siyo kinginehakuna jipya hapo
wanaweweseka mipango yao ovu kupitia kwa kubaraka wao lissu mpaka sasa imekwama,na siku zimeisha
hali shwari matamko ya nini?
Kwenye kuomba misaada marekani huwa mnakuwa Taifa lisilo huru? Kwenye kuondoa ujinga wa Tume isiyo huru ya uchaguzi na ubabe wa Polisi Tawi la ccm ndipo hujifanya ni Nchi huru wakati kuna utawala wa kaburu mweus asiyetaka kukosolewakwanini ajiapize kuja kushughulika na matatizo katika taifa huru lenye serikali yake na vyombo vyake vya dola, kipi hasa kinamvuta, tuamke watanzania hawa jamaa wasicheze na akili zetu.
Tena wanaonekana kutamani machafuko watimize azma yao, kwa Tanzania wamepotea njia.
"HAPA AMANI TU"
Hizo mbinu zenu mbona zinafahamika. Hivi mnaamini kabisa Serikali hii tena ya JPM inapiga usingizi wa pono? Nicheke mie khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeMsikilize Polepole alichosema ''mambo yanayofanyika ni ya aibu!'' Yote yatwekwa wazi ili Watanzania wayafahamu.Tulieni tu!! Mtajua hamjui mwaka huu!! Dadekiiiii
Freedom is coming😂😂😂
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?
Bila shaka umeelewaSo wewe mwanamke umeandika nn hapa
Sina shaka kabisa juu ya hilo, njoo tubeti kwa kiwango chochote cha pesa utakachotaka wewe niko tayaritunza ujumbe huu na tutakukosoa
Haters bado mpo. Naona mmebaki wachache. Wenzenu wameshafinhasha vilago. Lissu ni moto wa kuotea mbaliWe jamaa hacha ushamba na shobo na wazungu.
In fact barua hiyo inaweza kuwa mbaya sana kwa LIssu; huenda ndiyo maana ameomba kukutana na mabalozi. Ni tofauti kabisa na zile barua zilizokuwa zinatoka miaka ya nyuma zinasema marekani iko "concerned" sana na mchakato wa uchgaguzi.View attachment 1586980
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Ralax, halafu kunywa maji kidogo.Ni mpumbavu tu ambaye hajaenda shule,hajaelimika na hana kitu kichwanu ndiye anayeweza kuwasemea Watanzania kuwa wana imani na CCM.
Kama uliona hata milango ya darasa basi utagundua kuwa kuna "umoja" na "wingi", na pia bila ya takwimu,huna haki ya kuongea.
Jizungumzie wewe.
Mimi naichukia CCM na nitarudi huko kwa ajili ya kuikataa kwenye sanduku la kura 28/20/2020.
#kura yangu yahesabika.
We fala kwani Dr Sheni hakuwa dokta wa binadamu? Kwanini nchi haikupaaMarekani anajua fika JPM ndiyo mshindi na kule Zanzibar ni H.A.H.Mwinyi. Nchi sasa ziko mikononi mwa wanasayansi kule dokta wa binadamu huku DOKTA WA KEMIA. Hawa madokta wawili wanawakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa watu fulani, nchi inakwenda kupaaa
AmenNatumaini Ccm watakuwa wastaarabu hatutafika huko.
Wataachia madaraka kwa amani
Wizara ya Mambo ya kigeni tu inatosha kudeal na huyo ishu achana na TrumpHahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?
Lolote watalofanya mwaka huu wajue tu the world is watching. Askari wa dunia Marekani aneshatoa tamko, na leo bunge lao wameijadili rasmi Tanzania.
Najua kuna wanaume wanapasha mbele ya Mombasa hapo kuja kumchukua mtuhumiwa wao baada ya uchaguzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Balance shobo kwa hao wazunguTulia tu dawa ikuingie vizuri
Unavodhani wewe hyo statement ya US Embassy itasaidia nin?Tulia tu dawa ikuingie vizuri
Unajua maana ya kura yangu yahesabika we bint k.laza?Sasa kwa kuichukia kwako unataka kila mtu awe anaichukia?
Unajua maana ya kura?
Rais Magifuli atapata zaidi ya 79% huku Lisu akipata chini ya 20%
Hujui itasaidia nini??? Najua sio kosa lako ni kosa la elimu mbovu uliyopewa na hao Chama mfu CCM. Utajua tu badae ukiona matokeo ya ufedhuli wa magufuli wako na CCM yenu mkishirikiana na NECUnavodhani wewe hyo statement ya US Embassy itasaidia nin?