Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Kama wataingilia huu uchaguzi basi wataanza na wale makada wa chadema waliomuua mwana ccm.

MAGUFULI4LIFE.
 
View attachment 1586980

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona.

Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!

Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!

Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu.
Tatizo dogo hujaelewa kilichoandikwa. Wamesema Tanzania imekuwa ikiendesha chaguzi za huru na haki tangu 1995 na wanatarajia na mwaka huu itakuwa hivyo. Upo?

Pia wamesema watamshughulikia "yeyote" atakayevuruga uchaguzi wa mwaka huu. Chadema na Lissu wanaponaje hapo kama watasababisha vurugu? Weka akili kichwani na sio Mtaa wa Ufipa!
 
Hujui itasaidia nini??? Najua sio kosa lako ni kosa la elimu mbovu uliyopewa na hao Chama mfu CCM. Utajua tu badae ukiona matokeo ya ufedhuli wa magufuli wako na CCM yenu mkishirikiana na NEC
Tulia Dawa umeze dawa..shangilia ushindi unakuja..acha kuota ndoto za CDM😅😅😅
 
CCM hupokea misaada mingi tokea marekani kwani marekani haina watu masikini wa kuwapa hiyo misaada kwanza? Masikini wapo marekani lakini misaada inakuja CCM, marekani kuwa na shida zake kisiasa siyo kigezo cha Tanzania kuharalisha wizi wa kura kuzuia maendeleo kwa makusudi kisa mbunge ni wa upinzani

Kwa mantiki hiyo hiyo ya kwako, kwa sababu sisi ni maskini kwa hiyo tukubali wasim,amie hata yale amayo wanayakikuka. Nchi haiwezi kuwa huru kama itakuwa inakubali kufanya mambo eti kwa sababu zinapata msaada. Kuna nchi zenye "moral authority" ambazo zikisema hayo tutakubaliana nazo. Naona wewe kama unakimbilia kwa mangi au mura akukopeshe unga, mchele, na mafuta angalau mwisho wa mwezi ufike utakuwa unakubali chochote chake, hata akimtongoza mke wako utaangalia pembeni kama hapajatokea kitu. AAAAAAAAAAAAAIIIIIIIIIIIIIBBBBBBBBBBBBBBUUUUUUUUUUUU.
 
Wazushi tu hao ndio zao kutoa matamko lakini mwisho was siku hawafanyi chochote
 
View attachment 1586980

Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona.

Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!

Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!

Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu.
Achana nao. Hakuna lolote litakalotokea. Waende wajikite na ulinzi wa kura kwao maana MKULU wao amesema hatakubali matokeo tofauti na yeye kushinda.
 
Hivi kweli watu mnawashangilia wamarekani kutoa tamko juu ya hatma ya nchi yetu?

Kwanza wanatoa wapi hiyo moral authority?

Juzi-juzi wagombea wao wakiwa katika mdahalo wametia aibu kwa kudhihirisha jinsi walivo wahuni na kutoa mdahalo wa kihuni.

Jifunzeni, hakuna mtu kutoka nje ya nchi yako atakutakia mema bila yeye kufaidika

Nashauri matatizo yetu tuyatatue wenyewe.

Natanguliza shukrani kwa lile kundi nchini linalo fanya kila linalowezekana ili nchi itawalike na mungu awatangulie hasa kipindi hiki .

Lissu na Magufuri ni wanasiasa tu.
 
Usa ahangaike na ushoga kwanza, Tanzania ni maji marefu hawataiweza
 
Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki.

Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
 
Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
So what?
 
Umekula maharage ya wapi Mkuu? Muhimu uchaguzi uwe huru na haki, vinginevyo mtaingiliwa tu hakuna namna mwaka huu.
 
Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
Mkuu Poppy Wewi, kwanza naunga mkono hoja, kuwa japo Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, na hatupaswi kuingiliwa mambo yetu ya ndani na mtu yoyote au nchi yoyote, lakini kwa vile Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya kimataifa na tumeridhia kwa kusaini mikataba, Instruments na protocols za kimataifa kuhusu uendeshaji wa chaguzi kidemokrasia ziwe huru na haki, ni Jumuiya za kimataifa ndizo zenye haki, sio kuingilia bali kuja ku observers na ku comment na sio Marekani.

Kwenye hili la sisi kuingiliwa mambo yetu ya ndani, tuliisha mshauri rais wetu Magufuli siku nyingi
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
P
 
Rafiki mwema atakukanya na kukushauri kwa mwenendo mbaya. Tamaa za wachache zaweza leta zahama. JPM ahakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki japo dalili na matendo zinaonyesha haki ipo mbali.

..kwa jinsi mambo yalivyokorogwa mpaka sasa hivi bado una matumaini kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki?
 
Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
Umetumia moja ya kumi na sita (1/16) ya akili ambayo ni 3.1% ya uwezo wa panya kufikiri. Hujamtendea haki Muumba wako. Ukifa, una kesi ya kujibu.
 
Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."

Huru bila Uhuru kivipi?

Dunia ni moja na binadamu wote ni sawa .
Ni wapumbavu tu wanaweza kukaa kimya kuwaangalia binadamu wenzao wakiwa wanateswa na Watawala walioshiba na kulewa kwa utajiri uliotokana na ofisi za umma .

Vurugu zote za kuzuia watu wasifanye uchaguzi wa Uhuru na wa haki ni kwa sababu Watawala wametumia rasilimali za umma kuwa ni Mali zao. Wameifanya nchi hii kuwa ni Kampuni yao ya kujipatia mapesa mengi wanavyotaka wao.

Jiulize Nyumba zaidi ya 8000 katika nchi ya Kijamaa imekuaje Watawala wenye mishahara mikubwa inayoweza kujenga nyumba zao kwa pesa taslimu au hata kwa mikopo Makada wa CCM wamejiuzia kwa bei ya kutupa . Ni mwalimu yupi au polisi yupi mdogo au Nesi yupi aliyeuziwa nyumba ya serikali kwa sababu ya unyonge wake na mshahara wake mdogo? Je, waliziuza kwa sababu walishajianda kuachaia madaraka ili wakija wengine wapate shida au ni uroho tu huku wakijimilikisha mpaka mashirika ya umma?

Makampuni yote na viwanda na mashamba na mashirika yote makubwa na majengo yote makubwa yanayoonekana kule Upanga ni ya Makada wa CCM . Matajiri wote wakubwa kuna Makada nyuma yao kama mashare holder . Watu walijinufaisha kwa kiwango hicho ni mabeberu ndani ya nchi huku wakiwa wanatumia vyombo vya Dola kulinda mali zao na madaraka yao kwa nguvu kubwa na kufikia mahali pa kutoa roho za watu kwa vyeo vidogo kama uenyekiti wa serikali za mitaa,udiwani ,ubunge n.k

Binadamu akishakua na mali nyingi anakua Jeuri sana hasa kama anapata madaraka ambayo hakuna sheria ya kumdhibiti kama ilivyo kwa nchi nyingi za Afrika. Watawala wa Afrika wakiachwa bila Mungu kuwatuma wapigania haki nchi itakuwa na matabaka makubwa sana na nchi zitakua na watu katili kama Wanyama.

Hivi huoni wakuu wa Wilaya wakisimama nyuma ya yule mwenye mamlaka makubwa kuliko Mungu mana wanaweza hata kuwatisha maaskofu na wakamsujudia ili wapate fahari ya dunia na kunyanyasa watu kama wanavyotaka bila hofu wala woga huku wakijiona kama wao ni watu wanaostahili kuogopwa na kuheshimiwa bila kukosolewa .

Nature inatabia ya kujibalance yenyewe inapofikia dunia ikawa haina haki kuna jambo linatokea ili watu wote waheshimiane mana wote ni binadamu ,silaha zisitufanye kuwa sisi ni miungu kwa sababu tu tunaweza kusema mpige yule na akapoteza maisha . Kuweza kupoteza maisha ya MTU isiwe sababu ya kujiona sisi hatutakufa.
 
Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."

Pia wana uwezo wa kusema rais huyu hatumtaki. Wameshafanya nchi nyingi na wamefanikiwa.
 
Mkuu Poppy Wewi, kwanza naunga mkono hoja, kuwa japo Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, na hatupaswi kuingiliwa mambo yetu ya ndani na mtu yoyote au nchi yoyote, lakini kwa vile Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya kimataifa na tumeridhia kwa kusaini mikataba, Instruments na protocols za kimataifa kuhusu uendeshaji wa chaguzi kidemokrasia ziwe huru na haki, ni Jumuiya za kimataifa ndizo zenye haki, sio kuingilia bali kuja ku observers na ku comment na sio Marekani.

Kwenye hili la sisi kuingiliwa mambo yetu ya ndani, tuliisha mshauri rais wetu Magufuli siku nyingi
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
P
Uhuru hauipi serikali uhalali wa kuendesha uchaguzi usio huru na wa haki
 
Back
Top Bottom