Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,379
- 1,069
Kama wataingilia huu uchaguzi basi wataanza na wale makada wa chadema waliomuua mwana ccm.
MAGUFULI4LIFE.
MAGUFULI4LIFE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo dogo hujaelewa kilichoandikwa. Wamesema Tanzania imekuwa ikiendesha chaguzi za huru na haki tangu 1995 na wanatarajia na mwaka huu itakuwa hivyo. Upo?View attachment 1586980
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona.
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu.
Tulia Dawa umeze dawa..shangilia ushindi unakuja..acha kuota ndoto za CDM😅😅😅Hujui itasaidia nini??? Najua sio kosa lako ni kosa la elimu mbovu uliyopewa na hao Chama mfu CCM. Utajua tu badae ukiona matokeo ya ufedhuli wa magufuli wako na CCM yenu mkishirikiana na NEC
CCM hupokea misaada mingi tokea marekani kwani marekani haina watu masikini wa kuwapa hiyo misaada kwanza? Masikini wapo marekani lakini misaada inakuja CCM, marekani kuwa na shida zake kisiasa siyo kigezo cha Tanzania kuharalisha wizi wa kura kuzuia maendeleo kwa makusudi kisa mbunge ni wa upinzani
Achana nao. Hakuna lolote litakalotokea. Waende wajikite na ulinzi wa kura kwao maana MKULU wao amesema hatakubali matokeo tofauti na yeye kushinda.View attachment 1586980
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona.
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu.
Ninachompendea mmarekani huwa hatoi tamko hivi hivi. Ukiona hivi ujue ameshakusanya ushahidi wake na yuko sehemu Nzuri!! Anasubiri tu apige lini na wapi 😂😂😂😂
So what?Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
Umekula maharage ya wapi Mkuu? Muhimu uchaguzi uwe huru na haki, vinginevyo mtaingiliwa tu hakuna namna mwaka huu.Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
Mkuu Poppy Wewi, kwanza naunga mkono hoja, kuwa japo Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, na hatupaswi kuingiliwa mambo yetu ya ndani na mtu yoyote au nchi yoyote, lakini kwa vile Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya kimataifa na tumeridhia kwa kusaini mikataba, Instruments na protocols za kimataifa kuhusu uendeshaji wa chaguzi kidemokrasia ziwe huru na haki, ni Jumuiya za kimataifa ndizo zenye haki, sio kuingilia bali kuja ku observers na ku comment na sio Marekani.Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
Rafiki mwema atakukanya na kukushauri kwa mwenendo mbaya. Tamaa za wachache zaweza leta zahama. JPM ahakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki japo dalili na matendo zinaonyesha haki ipo mbali.
Umetumia moja ya kumi na sita (1/16) ya akili ambayo ni 3.1% ya uwezo wa panya kufikiri. Hujamtendea haki Muumba wako. Ukifa, una kesi ya kujibu.Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
Tanzania ni nchi huru. Tuna haki na wajibu wa kujiamulia mambo yetu wenyeme. Balozi wa Marekani ametoa angalizo kuhusu huu. Uchaguzi na kwamba atafurahi kama ukiendeshwa kwa haki. Lakini hii ni nchi huru. Yakitokea matatizo sana sana Balozi wa Marekani anaweza tu kusema," Hawa watu watano,hawa watu kumi,sitaki waende. Marekani kutembea."
Uhuru hauipi serikali uhalali wa kuendesha uchaguzi usio huru na wa hakiMkuu Poppy Wewi, kwanza naunga mkono hoja, kuwa japo Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, na hatupaswi kuingiliwa mambo yetu ya ndani na mtu yoyote au nchi yoyote, lakini kwa vile Tanzania ni mwanachama wa Jumuiya ya kimataifa na tumeridhia kwa kusaini mikataba, Instruments na protocols za kimataifa kuhusu uendeshaji wa chaguzi kidemokrasia ziwe huru na haki, ni Jumuiya za kimataifa ndizo zenye haki, sio kuingilia bali kuja ku observers na ku comment na sio Marekani.
Kwenye hili la sisi kuingiliwa mambo yetu ya ndani, tuliisha mshauri rais wetu Magufuli siku nyingi
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state
P