Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

Kushambulia, kuteka, kuua, kubaka wanawake na pia kuteka watoto wadogo na kuwaweka kwenye cage huku wakiita jina na allah sasa sijui huyo allah ndio amewatuma kufanya huo ujangili
hayo ni uongo mtupu. Hakuna askari wa Kiislam anaeweza kufanya hayo. Uislam ni mwema sana.

Unadanganywa na wayahudi na wewe unaingia kichwa kichwa. Wamekudanganya mpa mzungu kuwa Mungu wako na wewe umo mpaka leo unamuabudu tu.
 
Wameanzisha vita wacha washughulikiwe!
Unaona ulivyodanganywa, asi huwezi hata kutumia mtandao kujitafutia ukweli?

Vita imeanza toka mwaka 1948 haijakoma mpaka leo, inasimama kidogo, wanalianzisha upya.

Wewe unaamini katika akili yako kuwa wayahudi wanaweza kuwawachia Palestina waingie wauwe watu hovyo? Tamthilia tu hizo.

Mimi hainiingii akilini hata siku moja. Wanacheza na media ili waendeleze mauwaji yao ya Kimbari (genocide).

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Huko ccm kuna wahafidhina hawataki katiba mpya. Wanataka ccm itawale milele ili wao na Vizazi vyao waendelee kula keki ya taifa
Labda u mkweli, lakini historia ya CCM haipo hivyo. Katawala Nyerere, akaja Mwinyi, akaja Mkapa, akaja Kikwete, akaja mwendazake, sasa yupo mama Samia.

Wote hao ni watu wenye asili tofauti rofauti kabisa, au kuna uhafidhina wa "vizazi vyao" hapo?
 
Jinga kabisa. Ninyi mkiua wayahudi ni sawa lkn wakijibu ndo mnatoka mafichoni. Kunya anye kuku lkn akinya bata kaharisha.

Na mlimchokoza myahudo mnaujua moto wake. Saiz hayuko tayari kwa mazungumzo ngoja kwanza asawazishe idadi ya vifo ndo atakaa kwa mazungumzo na kama mnavyojua ukiau myahudi mmoja ni sawa na wapalestina 80.
 
Wayahudi tu wakiuwa ni sawa. Hufahamu kuwa mungu wetu ni myahudi?
 
Labda u mkweli, lakini historia ya CCM haipo hivyo. Katawala Nyerere, akaja Mwinyi, akaja Mkapa, akaja Kikwete, akaja mwendazake, sasa yupo mama Samia.

Wote hao ni watu wenye asili tofauti rofauti kabisa, au kuna uhafidhina wa "vizazi vyao" hapo?
ni kwanini Magufuli hujamtaja.??
 
Wanaokalia eneo la mwengine ni nani?

unavosema ni eneo la palestina unakua unamaanisha kwa muda gan??maana kila hamna ardhi ishakua ya jamii fulani milele

mfano kama tanzania Tulipo miaka kadhaa hili eneo la maziwa makuu lilikua linakaliwa na twaa kabla ya great bantu migration
 
unavosema ni eneo la palestina unakua unamaanisha kwa muda gan??maana kila hamna ardhi ishakua ya jamii fulani milele

mfano kama tanzania Tulipo miaka kadhaa hili eneo la maziwa makuu lilikua linakaliwa na twaa kabla ya great bantu migration
Wewe umeenda mbali sana, tunaongelea kuanzia juzijuzi tu, mwaka 1948 ndiyo kwa mabavu ya Muingereza Mmarekani imeanzishwa nchi inayoitwa Israel, ndani ya ardhi ya nchi ya Palestina.

Upo hapo ulipo?
 
Allah hahitaji msaada wako wala wangu.

Wapalestina wanasaidiwa na Allah. Usisahau hilo.
Mnafanya kosa kubwa la kiufundi kuhusisha miungu kwenye hii vita, huku mkijua fika Mungu wa Israel ndiyo Mungu Mkuu mwenye nguvu na mamlaka juu ya falme na miungu yote ya ulimwengu.
 
Simba kalala wewe unamvuta mkia,ameamka unapiga yowe.Si wapambane kimyakimya kama walivyopanga mipango ya kuishambulia Israel kimyakimya.Mbona Israel hapigi yowe ila anafukuza mwizi wake kimyakimya!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…