Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Wameanzisha vita wacha washughulikiwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Mwenye anafahamu anifahamishe hamas ni jeshi la palestina au kikundi tu kutoka hiyo nchi?
Tuambie ni ujinga Gani
hayo ni uongo mtupu. Hakuna askari wa Kiislam anaeweza kufanya hayo. Uislam ni mwema sana.Kushambulia, kuteka, kuua, kubaka wanawake na pia kuteka watoto wadogo na kuwaweka kwenye cage huku wakiita jina na allah sasa sijui huyo allah ndio amewatuma kufanya huo ujangili
Wahafidhina ni shida sana katika dunia !!
Unaona ulivyodanganywa, asi huwezi hata kutumia mtandao kujitafutia ukweli?Wameanzisha vita wacha washughulikiwe!
Labda u mkweli, lakini historia ya CCM haipo hivyo. Katawala Nyerere, akaja Mwinyi, akaja Mkapa, akaja Kikwete, akaja mwendazake, sasa yupo mama Samia.Huko ccm kuna wahafidhina hawataki katiba mpya. Wanataka ccm itawale milele ili wao na Vizazi vyao waendelee kula keki ya taifa
Vita havijaanza leo wala jana wala juzi, ni tokea mwaka 1948.Wameanzisha vita wacha washughulikiwe!
Wayahudi tu wakiuwa ni sawa. Hufahamu kuwa mungu wetu ni myahudi?Jinga kabisa. Ninyi mkiua wayahudi ni sawa lkn wakijibu ndo mnatoka mafichoni. Kunya anye kuku lkn akinya bata kaharisha.
Na mlimchokoza myahudo mnaujua moto wake. Saiz hayuko tayari kwa mazungumzo ngoja kwanza asawazishe idadi ya vifo ndo atakaa kwa mazungumzo na kama mnavyojua ukiau myahudi mmoja ni sawa na wapalestina 80.
Ila wavaa kobazi mkiua ni sawa. Myahudi mnamjua vizuri tulueni hivyo hivyo dawa iingieWayahudi tu wakiuwa ni sawa. Hufahamu kuwa mungu wetu ni myahudi?
Wayahudi tu wakiuwa ni sawa. Hufahamu kuwa mungu wetu ni myahudi?Ila wavaa kobazi mkiua ni sawa. Myahudi mnamjua vizuri tulueni hivyo hivyo dawa iingie
ni kwanini Magufuli hujamtaja.??Labda u mkweli, lakini historia ya CCM haipo hivyo. Katawala Nyerere, akaja Mwinyi, akaja Mkapa, akaja Kikwete, akaja mwendazake, sasa yupo mama Samia.
Wote hao ni watu wenye asili tofauti rofauti kabisa, au kuna uhafidhina wa "vizazi vyao" hapo?
Wanaokalia eneo la mwengine ni nani?
Wewe umeenda mbali sana, tunaongelea kuanzia juzijuzi tu, mwaka 1948 ndiyo kwa mabavu ya Muingereza Mmarekani imeanzishwa nchi inayoitwa Israel, ndani ya ardhi ya nchi ya Palestina.unavosema ni eneo la palestina unakua unamaanisha kwa muda gan??maana kila hamna ardhi ishakua ya jamii fulani milele
mfano kama tanzania Tulipo miaka kadhaa hili eneo la maziwa makuu lilikua linakaliwa na twaa kabla ya great bantu migration
AhahahaaaCcm walivo wanafaki wapo kimasilai na wenye pesa hiyo palestina labda pale sinza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa ni kana Green Guard!
Mnafanya kosa kubwa la kiufundi kuhusisha miungu kwenye hii vita, huku mkijua fika Mungu wa Israel ndiyo Mungu Mkuu mwenye nguvu na mamlaka juu ya falme na miungu yote ya ulimwengu.Allah hahitaji msaada wako wala wangu.
Wapalestina wanasaidiwa na Allah. Usisahau hilo.
Simba kalala wewe unamvuta mkia,ameamka unapiga yowe.Si wapambane kimyakimya kama walivyopanga mipango ya kuishambulia Israel kimyakimya.Mbona Israel hapigi yowe ila anafukuza mwizi wake kimyakimya!View attachment 2777870
View attachment 2777872
The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement
The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and affirmed by Israeli officials who have issued genocidal and hateful calls for ethnic cleansing publicly and unashamedly.
The scenes of devastation inflicted on Palestinian civilians in the Gaza Strip are harrowing. The international impunity Israel enjoys is a moral, political, and legal stain affront to humanity and basic decency as well as the principles of international law. Any attempt to excuse or cover these crimes is unacceptable and outright reprehensible.
The facts are not in dispute. Israel, as an occupying Power, is fully responsible for this situation because it insists on keeping the Palestinian people captive and stripping them of their rights for over half a century. Israel has illegally used force and the threat of force, confiscation of land, persecution, collective punishment, and reprisals to deny the Palestinian people their fundamental rights and serve the common aim of displacing and replacing the Palestinian people, in violation of their right to self- determination and other peremptory norms of international law.
We are in this situation because the world failed to do what is needed and turned its back on Palestinian rights. Simplistic statements that omit Palestinian lives and rights and encourage their violation have to stop. As an occupying Power, Israel has no right or justification to target the defenseless civilian population in Gaza or elsewhere in Palestine. Reprisals against civilians in armed hostilities are illegal under international humanitarian law and must stop.
In view of the open war declared by Israel on the Palestinian people in Gaza and the critical and ever-worsening situation of the Palestinian people under Israel's colonial occupation and apartheid regime in the rest of the Occupied Palestinian Territory, including East Jerusalem, the international community must immediately intervene and provide international protection to the Palestinian people and end Israel's barbarous campaign of death and destruction. The international community must also act on their collective.
political, legal, humanitarian, and moral responsibilities towards this prolonged injustice. It has a responsibility to promote accountability, which is the only viable remedy for this illegal, abhorrent situation. The Palestinian people will continue to defend themselves, their homes, and their fundamental right to live in freedom and dignity, free from occupation, apartheid, and persecution.
Mwenye anafahamu anifahamishe hamas ni jeshi la palestina au kikundi tu kutoka hiyo nchi?