TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Huo ubalozi upo sehemu gani nataka kwenda kuutembelea kuwaambia ujinga wao wanaoufanya na niwape zawadi ya Kitimoto
mungu wako wew na nani?Wayahudi tu wakiuwa ni sawa. Hufahamu kuwa mungu wetu ni myahudi?
Aisee mpaka leo wewe hujuwi kina nani wenye Mungu Myahudi?mungu wako wew na nani?
Hamas wametoa hizo clip wakionyesha jinsi walivyofanya mauaji ya kikatili pamoja na kuteka wanawake na watotohayo ni uongo mtupu. Hakuna askari wa Kiislam anaeweza kufanya hayo. Uislam ni mwema sana.
Unadanganywa na wayahudi na wewe unaingia kichwa kichwa. Wamekudanganya mpa mzungu kuwa Mungu wako na wewe umo mpaka leo unamuabudu tu.
Kuteka imo, lakini ukatili kwa Hamas sahau.Hamas wametoa hizo clip wakionyesha jinsi walivyofanya mauaji ya kikatili pamoja na kuteka wanawake na watoto
Nilidhani kwenye thread fulani ni wewe ulicomment juu ya "umaridadi" wa wapalestina na Hamas yao, heee huku kwenye uji huu uzi umekuja kulia ati "wanauliwa kila siku" na sasa kumbe ulivyokua unawapamba kule ilikua nini ?!Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Unaona ulivyodanganywa, asi huwezi hata kutumia mtandao kujitafutia ukweli?
Vita imeanza toka mwaka 1948 haijakoma mpaka leo, inasimama kidogo, wanalianzisha upya.
Wewe unaamini katika akili yako kuwa wayahudi wanaweza kuwawachia Palestina waingie wauwe watu hovyo? Tamthilia tu hizo.
Mimi hainiingii akilini hata siku moja. Wanacheza na media ili waendeleze mauwaji yao ya Kimbari (genocide).
Wajinga ndiyo waliwao.
Mwana kulitafuta mwana kulipata. Waliyataka wenyewe. Walianza kwa kuwauwa kinyama raia ambao hawakuwa na silaha na kuwateka wazee, watoto na wanawake bila huruma. Waache ukatili uliopitiliza, waache unyama.Mbona hakutoa statement sasa kwa kosa hilo?.
Ukipanda uovu utavuna uovu na ukipanda wema utavuna wema.
Hawana ardhiHamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Unaona ulivyodanganywa, asi huwezi hata kutumia mtandao kujitafutia ukweli?
Vita imeanza toka mwaka 1948 haijakoma mpaka leo, inasimama kidogo, wanalianzisha upya.
Wewe unaamini katika akili yako kuwa wayahudi wanaweza kuwawachia Palestina waingie wauwe watu hovyo? Tamthilia tu hizo.
Mimi hainiingii akilini hata siku moja. Wanacheza na media ili waendeleze mauwaji yao ya Kimbari (genocide).
Wajinga
Wamefanya mauaji ya kinyama na kikatili, wamebaka na kuteka wanawake . Hao ni magaidi lazima washughulikiwe kigaidi.Kuteka imo, lakini ukatili kwa Hamas sahau.
Hapana asiye kumbuka uovu wa Hamas jumamosi ile ni wao ndio waliokuwa wakwanza kumshambulia israeli tena kwa tambo na shangwe tuliwaambia msije kulia lia humu. Mmeambiwa ardhi yenu itabaki majivu na itabaki historia kuwa mliwahi kuwepoHamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Siungi mkono vita... Lakini vile vita vya koo vishapiganwa karne na karne. Wengine wakitaka ardhi yao ya asili! Wengine wakitaka kufanya uporaji! Wanabadilishana medani na zana za kivita!Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Vile vita ni vya karne na karne... wanaviziana tu! Yesu alivikuta! Mohammed alivishiriki!Aache ujinga, vita si wameanza wao?
Acha wagongwe washike adabu!
Kwa nini waitwe majuha?Majuha weng wanasapoti israel.
Huo ni uongo wa wayahudi, lakini ni juu yako kuuamini au kutokuumini. Sipo hapa kutaka kukuaminisha zaidi ya kukupa elimu ya ukweli tu.Wamefanya mauaji ya kinyama na kikatili, wamebaka na kuteka wanawake . Hao ni magaidi lazima washughulikiwe kigaidi.
No excuses
Hakuna cha karne na karne, hizo pumba tu.Siungi mkono vita... Lakini vile vita vya koo vishapiganwa karne na karne. Wengine wakitaka ardhi yao ya asili! Wengine wakitaka kufanya uporaji! Wanabadilishana medani na zana za kivita!
Historia inaonesha huwezi kuwabinya watu na ukawa salama!
Nashangaaa huku Africa kuna watu wana chukua upande Palestina au Israel!
Niseme tu Ipo siku Tanganyika na ccm watajibu kwa kuwapora wengine haki zao!