Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

Mkuki Kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

Hamas walipoanza kushambulia mbona hawakusema kipigo na mbwa mwizi kimewarudia wanalialia

Wakae kwa kutulia air strikes ziwamalize😁😁😁 dadekiii
 
mungu wako wew na nani?
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
 
hayo ni uongo mtupu. Hakuna askari wa Kiislam anaeweza kufanya hayo. Uislam ni mwema sana.

Unadanganywa na wayahudi na wewe unaingia kichwa kichwa. Wamekudanganya mpa mzungu kuwa Mungu wako na wewe umo mpaka leo unamuabudu tu.
Hamas wametoa hizo clip wakionyesha jinsi walivyofanya mauaji ya kikatili pamoja na kuteka wanawake na watoto
 
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Nilidhani kwenye thread fulani ni wewe ulicomment juu ya "umaridadi" wa wapalestina na Hamas yao, heee huku kwenye uji huu uzi umekuja kulia ati "wanauliwa kila siku" na sasa kumbe ulivyokua unawapamba kule ilikua nini ?!
 
kama wajua magaidi ya palestine hayawezi kufua dafu kwa Israel, kumbe ulivyokua unashadadia ati Hamas wameua wayahudi kadhaa jana na juzi ulikua ni unafiki au nini ?!
Unaona ulivyodanganywa, asi huwezi hata kutumia mtandao kujitafutia ukweli?

Vita imeanza toka mwaka 1948 haijakoma mpaka leo, inasimama kidogo, wanalianzisha upya.

Wewe unaamini katika akili yako kuwa wayahudi wanaweza kuwawachia Palestina waingie wauwe watu hovyo? Tamthilia tu hizo.

Mimi hainiingii akilini hata siku moja. Wanacheza na media ili waendeleze mauwaji yao ya Kimbari (genocide).

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Mbona hakutoa statement sasa kwa kosa hilo?.

Ukipanda uovu utavuna uovu na ukipanda wema utavuna wema.
Mwana kulitafuta mwana kulipata. Waliyataka wenyewe. Walianza kwa kuwauwa kinyama raia ambao hawakuwa na silaha na kuwateka wazee, watoto na wanawake bila huruma. Waache ukatili uliopitiliza, waache unyama.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Unaona ulivyodanganywa, asi huwezi hata kutumia mtandao kujitafutia ukweli?

Vita imeanza toka mwaka 1948 haijakoma mpaka leo, inasimama kidogo, wanalianzisha upya.

Wewe unaamini katika akili yako kuwa wayahudi wanaweza kuwawachia Palestina waingie wauwe watu hovyo? Tamthilia tu hizo.

Mimi hainiingii akilini hata siku moja. Wanacheza na media ili waendeleze mauwaji yao ya Kimbari (genocide).

Wajinga
Kuteka imo, lakini ukatili kwa Hamas sahau.
Wamefanya mauaji ya kinyama na kikatili, wamebaka na kuteka wanawake . Hao ni magaidi lazima washughulikiwe kigaidi.
No excuses
 
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Hapana asiye kumbuka uovu wa Hamas jumamosi ile ni wao ndio waliokuwa wakwanza kumshambulia israeli tena kwa tambo na shangwe tuliwaambia msije kulia lia humu. Mmeambiwa ardhi yenu itabaki majivu na itabaki historia kuwa mliwahi kuwepo
 
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Siungi mkono vita... Lakini vile vita vya koo vishapiganwa karne na karne. Wengine wakitaka ardhi yao ya asili! Wengine wakitaka kufanya uporaji! Wanabadilishana medani na zana za kivita!
Historia inaonesha huwezi kuwabinya watu na ukawa salama!
Nashangaaa huku Africa kuna watu wana chukua upande Palestina au Israel!
Niseme tu Ipo siku Tanganyika na ccm watajibu kwa kuwapora wengine haki zao!
 
Aache ujinga, vita si wameanza wao?
Acha wagongwe washike adabu!
Vile vita ni vya karne na karne... wanaviziana tu! Yesu alivikuta! Mohammed alivishiriki!
Na wapo watu vinawaathiri hadi leo wanasubiria masiha wao aje awakomboe!
 
Wamefanya mauaji ya kinyama na kikatili, wamebaka na kuteka wanawake . Hao ni magaidi lazima washughulikiwe kigaidi.
No excuses
Huo ni uongo wa wayahudi, lakini ni juu yako kuuamini au kutokuumini. Sipo hapa kutaka kukuaminisha zaidi ya kukupa elimu ya ukweli tu.

Labda ungesoma historia kidogo uelewe kwanini hawa watu amabao walikuwa washirika na marafiki wa Tanzania Nyerere akafikia hatua ya kuwafukuza na kuvunja kabisa uhusiano nao.
 
Siungi mkono vita... Lakini vile vita vya koo vishapiganwa karne na karne. Wengine wakitaka ardhi yao ya asili! Wengine wakitaka kufanya uporaji! Wanabadilishana medani na zana za kivita!
Historia inaonesha huwezi kuwabinya watu na ukawa salama!
Nashangaaa huku Africa kuna watu wana chukua upande Palestina au Israel!
Niseme tu Ipo siku Tanganyika na ccm watajibu kwa kuwapora wengine haki zao!
Hakuna cha karne na karne, hizo pumba tu.

Huu unyama wa Waingereza Na Wamarekani kuwaleta ashkenazi jews na kuwanyanganya ardhi yao Waarabu na kuwapa hao wayahudi ndipo ilipoanza vita, mwaka 1948.
 
Back
Top Bottom