Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga kuleta uchochezi machafuko na machafuko Nchini.
Wamesema hayo leo Dec 03, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati wakitoa maoni yao kuhusu uchaguzi huo na baadhi ya watu kuufaninisha na chaguzi zilizopita ambapo wamesema kuwa uchaguzi huo ulikuwa wa Huru na haki na watu wanapaswa kuacha kukashifu Serikali.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Taasisi ya TAFEYOCO ΤΑΝΖΑΝΙΑ Bw. Elvice John Makumbo amesema kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa umeshapita na Viongozi wameshaapishwa na kuanza kazi hivyo Wananchi wanapaswa kuendelea na Shughuli za uzalishaji mali.