- Thread starter
- #21
vinaanza kampeni tarehe 20 November hadi 26 November 2024 kama kanuni za Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 zinavyoelekeza...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vinaanza kampeni tarehe 20 November hadi 26 November 2024 kama kanuni za Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 zinavyoelekeza...
Ndo hawa huwa nawaona seashells hotel wakiwa na wana TISSMwanzo walinunuliwa suti na viatu vipya , safari hii wamenunuliwa nini? wanatumika kuliko hata yale makaratasi, Wanatia aibu!
19 November 2024
TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA
View: https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E
Vyama hivyo rafiki wa CCM chama dola kongwe, vikiongea na waandishi wa habari kiongozi wa chama cha UMD wametaka vyama vikubwa kutulia.
Wakasisitiza kama vyama hivyo vikubwa wagombea wao wameenguliwa basi wawapigie vyama vingine vidogo vya upinzani ambavyo hawakuenguliwa badala ya kuwa na choyo kwa kupigiana kura vyenyewe vikubwa, kwa kuwa vyama vidogo ni sehemu ya upinzani hivyo wapeleke kuŕa kwa vyama vidogo ....
Vyama hivyo vidogo vya UMD, UDP, UPDP, CCK, ADA-TADEA, AFP, NLD, SAU n.k vimesema vimejizatiti kutoa Upinzani kwa CCM pale ambapo kitakuwa na mgombea wao.
Kuanzia kesho watakuwa wanaanza kampeni na OCD wa Polisi katika maeneo husika wamepewa taarifa kwa barua kuwa vinaanza kampeni tarehe 20 November hadi 26 November 2024 kama kanuni za Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 zinavyoelekeza...
Vyama hivyo rafiki wa CCM wakumbushia kuwa vyama vyote vya siasa viliridhia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa Agosti 2024 waliookutana na mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa OR TAMISEMI..
Satari hii wamenunuliwa mafuta ya Pdiddy.Mwanzo walinunuliwa suti na viatu vipya , safari hii wamenunuliwa nini? wanatumika kuliko hata yale makaratasi, Wanatia aibu!