LGE2024 Tamko la Vyama nane vya siasa rafiki kwa CCM | vyaishambulia CHADEMA

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CHADEMA hana vyama Rafiki ? Hizi Sarakasi na maigizo ya miaka nenda rudi hakuna kinachoendelea zaidi ya kufuja jasho la mwananchi kwa kupitia Kodi zake..., No wonder politics duniani kote wananchi wanaoshiriki pengi ni less than 50 percent; watu washachoka na haya maigizo...
 
Hawa wapumbavu siasa wanayoijua katika nchi hii ni kuisuta Chadema tu majukwaani kwao mwiko.
 
HEADING ILISTAHILI KUWA: Vyama 8 Njaa, makuwadi wa CCM vyapinga kauli ya Mwenyekiti wa CHADEMA.
 
Toka maktaba :

Vyama vidogo vitakuwa vimetumwa kusema sisi wapinzani pamoja na CHADEMA hatujajipanga 2024

TOKA MAKTABA :

17 February 2023


MALALAMIKO YA VYAMA RAFIKI WA CCM DHIDI YA UKUBWA WA CHADEMA

Kelele hizi mara kuunda baraza la vyama vya siasa au kusikia vyama vilivyo chini ya chama dola kongwe vinalalamika kwanini CHADEMA ni maarufu kiasi taifa zima linasikilizia kila kinachoendelea kuhusu chama cha Demokrasia na Maendeleo ya kweli kwa waTanzania wote, ni moja ya mbinu za chama dola kongwe pamoja na vyama vya mfukoni rafiki vya CCM kukatisha matumaini, imani waliyonayo juu ya CHADEMA.

Mzee John Cheyo - Hili la vyama vinavyojiita Chama Tawala na Chama Kikubwa kuteka agenda za nchi halikubaliki


Mwenyekiti wa chama cha UDP Mh. John Cheyo alalamika siasa kuwekwa "gredi" vyama gani vinaweza kujadili katiba ya nchi, maana kwa sasa suala hili linajadiliwa na vyama viwili tu kimoja kinajiita ni tawala na kingine ni chama 'kikubwa' huku vyama vingine vinavyoitwa vya mfukoni vikiachwa nje ya mjadala huu mkubwa.

Mzee Cheyo anasema umri wake umamueleza kuwa leo chama kinaweza kuwa kikubwa na tawala lakini kesho kikawa kidogo hivyo ikitokea mazungumzo muhimu je chama hicho huko miaka ijayo kitabaguliwa ?
 
20 November 2024
Temeke, Dar es Salaam
Tanzania,

CHAMA KONGWE NACHO CHAUNGANA NA VYAMA VINANE RAFIKI KUISHAMBULIA CHADEMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=kYNjXxgDiXUKatibu uenezi, itikadi, elimu na propaganda wa CCM mnec CPA Amos Makala azindua kampeni wilaya ya Temeke kuelekea 27 November 2024
 
21 November 2024
Goba, Dar es Salaam

CHAMA CHA CCK CHAPIGA KAMPENI NZITO KUELEKEA 27 NOVEMBER 2024 CHAGUZI ZA TAMISEMI

View: https://m.youtube.com/watch?v=FCrD7tSm7ssChama C ha Kijamii CCK chapiga mkwara mzito kwa kufungua mkutano wake wa kwanza wa kampeni za uchaguzi serikali za mtaa 2024 kitongoji cha Goba mkoa wa Dar es Salaam na kusema kuwa ...

CCK imesema barabara kuanzia Stendi hadi Goba ni mbovu, shule siyo elimu bure wazazi wadaiwa shilingi 2,000 kwa kila mtoto kero hizo mbili ni mojawapo ya kero zinazoikabili jamii ..

CCK yaomba kura ili matatizo yote yanayowatesa watanzania wa Goba basi mambo yatakuwa safi kwa maendeleo ya watu ...Chama Cha Kijamii kinataka kuleta mabadiliko ...

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Siasa Cha Kijamii (CCK) Bw. David Mwaijojele...awataka watanzania wabadilike na kuacha kupiga kura kwa mazoea na mahaba, bali wajiulize mgombea wao anaweza kuchagiza mabadiliko gani hivyo waache mazowea na safari hii kura zote ziende kwa wagombea wa Chama Cha Kijamii CCK ili wafaidi utajiri wa nchi hii Tanzania ilionao ila unakosa uongozi bora wa kijamaa kama wa CCK.
 
22 November 2024
Tandika, Dar es Salaam

CHAMA CHA AAFP CHAZINDUA KAMPENI YA UCHAGUZI WAGOMBEA WAKE TAMISEMI 2024


View: https://m.youtube.com/watch?v=iqUPMnUSwhgCHAMA cha Alliance for African Farmers (AAFP) kimejitosa kiaina na kunadi sera za wagombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. Naye mgombea wa nafasi ya mtaa wa Tandika Bi. Amina amesema wakaazi wa Tandika kura zote ziende kwake mgombea wa Chama cha Wakulima AAFP ili kuondokana na kero za kulipa mihuri n.k


View: https://m.youtube.com/watch?v=yUue1qMLBqIMsizoe mazingira magumu, mabadiliko huletwa na kiongozi mzuri siyo chama mlichokizoea chama dola kongwe CCM
 
22 November 2024
Temeke, Dar es Salaam

Nao kubwa lao wa vyama rafiki, CCM waangusha tamasha zito la muziki katika kampeni TAMISEMI 2024


View: https://m.youtube.com/watch?v=Apnd-b8waNAMistari na madensa watawala jukwaa kwa kurusha makombora kwa wapinzani wa kweli kwa kutomsifia Mama ..
 
21 November 2024

AAFP WACHARUKA NA KUTOA CHECHE TAMISEMI 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=-bS1P2APuSUKutoka mtaa wa Bokorani Temeke jijini Dar es Salaam mwanachama Masinde Alex Manyama mgombea wa chama cha Alliance for African Farmers (AAFP) chama cha wakulima...

Mambo yaliyoigusa AAFP ili kuletea mambo mazuri wakipewa kura zote na ridhaa kuongoza wataangazia ngazi ya mtaa maeneo ya huduma za kijamii, ulinzi...
 
21 November 2024
Morogoro Vijijini
Tanzania

AAFP UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MOROGORO VIJIJINI WAFANYA MAAJABU


View: https://m.youtube.com/watch?v=iz7vwIxq5NMChama cha Wakulima AAFP mkoani Morogoro jimbo la Morogoro vijijini kimeweza kusimamisha wagombea katika vijiji na mitaa kwa ajili ya uchaguzi wa TAMISEMI

Hayo yamejiri wakati taarifa ikisheheni takwimu na maeneo ya Morogoro vijijini jinsi AAFP ilivyojizatiti kuchukua uongozi ...

Said Soud Said mwenyekiti wa AAFP halmashauri Morogoro vijijini abainisha wagombea wao wote wamepitishwa katika uteuzi na sasa wananchi wajitokeze kusikiliza sera za chama katika mikutano vijiji na vitongoji vya :
Chahua, Mvuha, Mkulazi, Vianzi, Kasanga, Kibogwa, Kidugalo, Kinole, Kolero, Lundi, Mikese, Mkambalani, .....
 
Hivyo ni vyama mfu hakuna mtanzania anayejua kama kuna vyama hivyo. Vinajulikana kwa msajijili wa vyama vya siasa tu. Havitaambulia mtaa au kijiji hata kimoja labda ifanyike abrakadabra vipewe mitaa, vijiji viwili vitatu ionekane vimeshindana na chama tawala na kuambulia matokeo hayo kidogo. Chama cha upinzani ni CHADEMA ikifuatiwa kwa mbaaali na ACT wazalendo havitakosa mitaa na vijiji kadhaa hali halisi inaonekana kama hakutakuwa na sarakasi za kuharibu uchaguzi huo.
 
Hivyo ni vyama mfu hakuna mtanzania anayejua kama kuna vyama hivyo. Vinajulikana kwa msajijili wa vyama vya siasa tu. Havitaambulia mtaa au kijiji hata kimoja labda ifanyike abrakadabra vipewe mitaa, vijiji viwili vitatu ionekane vimeshindana na chama tawala na kuambulia matokeo hayo kidogo. Chama cha upinzani ni CHADEMA ikifuatiwa kwa mbaaali na ACT wazalendo havitakosa mitaa na vijiji kadhaa hali halisi inaonekana kama hakutakuwa na sarakasi za kuharibu uchaguzi huo.
 
Hivyo ni vyama mfu hakuna mtanzania anayejua kama kuna vyama hivyo. Vinajulikana kwa msajijili wa vyama vya siasa tu. Havitaambulia mtaa au kijiji hata kimoja labda ifanyike abrakadabra vipewe mitaa, vijiji viwili vitatu ionekane vimeshindana na chama tawala na kuambulia matokeo hayo kidogo. Chama cha upinzani ni CHADEMA ikifuatiwa kwa mbaaali na ACT wazalendo havitakosa mitaa na vijiji kadhaa hali halisi inaonekana kama hakutakuwa na sarakasi za kuharibu uchaguzi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…