Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

Daaaah.
Aseeeh
 
Pengine hata wao huenda wanakuona chizi.. Kama unajigamba mbele ya hadhira humu kusema hakuna watu wenye matokeo mazuri Darasani wakaenda Jeshini utakuwa chizi pia.. Sijui unaongea Karne ipi Mkuu?
 
Vijana 8000 wa kawe (18yrs hadi 35 yrs),wanashindwa kufanya push back dhidi ya 40MPs,kweli nchi hii imelogwa vibaya, na watakapomzika yule katili in uniforms, watatamka kuwa marehemu alikua mpole, mcheshi and he never hurt even a fly 🪰!!
 
Sijawahi kuwaona mimi huko jeshini.

Wote niwajuao, niwaonao, ni vilaza wa kutupwa.
Pengine hata wao huenda wanakuona chizi.. Kama unajigamba mbele ya hadhira humu kusema hakuna watu wenye matokeo mazuri Darasani wakaenda Jeshini utakuwa chizi pia.. Sijui unaongea Karne ipi Mkuu?.. Mbali na Elimu kuna tabia na hulka za mtu binafsi ambazo ni ngumu sana Elimu ya darasani kumbadili. Hizo Elimu unazoziongelea ambazo hazipo jeshini ndio nyingi zimefanya ujinga na kushindwa kutengeneza misingi thabiti kwenye Taifa hili. Acha kutukana Wanajeshi Generally kiasi hicho Mkuu. Kuna wanajeshi wapo smart sana kimtazamo kuliko unavyofikiri.
 
Nionyeshe wanajeshi watano wa JWTZ walio na akili…
 
Vijana 8000 wa kawe (18yrs hadi 35 yrs),wanashindwa kufanya push back dhidi ya 40MPs,kweli nchi hii imelogwa vibaya, na watakapomzika yule katili in uniforms, watatamka kuwa marehemu alikua mpole, mcheshi and he never hurt even a fly 🪰!!
Ukiua mwanajeshi mmoja umefanya mambo mawili

1.umeua Raisi sababu Raisi hulindwa na wanajeshi

2.Umepindua nchi sababu nchi hulindwa na jeshi

Hao vijana wsthubutu kurush hata jiwe.la kutumia manati kwa mwanajeshi yeyote wakione cha mtema kuni wakirusha jieshi linawarushia risasi mabomu na makombora ya mssafa mafupi na marefu bila kujali yanatua kwa mtu mmoja au la

Kitendo kilichofanyika cha kuua mwanajeshi saa hii.kawe ilitakiwa iwe kifusi kwa kutwanga na mibomu ya kila namna
Hao Maaskari MP 40 wako vitani wamechemka hasa wako mbogo damu ya bosi wao aliyeuaawa inawawasha kama mbogo aliyejeruhiwa muwalete hao vijana elfu 8 wajaribu kuwakabili wakione cha mtema kuni

Askari ma MP 40 mnafanya kazi nzuri kawe endeleeni ongezeni mara mbili zaidi
 
Ujinga ni pamoja na kutokuwa specific wakati wa kutoa taarifa.
Lugalo ile nzima ina vikosi 8 halafu ukiulizwa ni kikosi kipi wamefanya hizo fujo mtaani,hutokuwa na majibu kwasababu ya kukurupuka kwa namna kama hii. Kuwa makini na taarifa zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…