Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

Tamko la wana Kawe ( Raia ) kwa Wanajeshi wa Lugalo baada ya KUTESWA kwa VIPIGO na KUUMIZWA vibaya, huku hadi leo JWTZ halijawaomba msamaha

Jeshi la Tanzania ndo taasisi inayoongoza kwa kuwa na mrundikano wa vilaza wengi zaidi kuliko taasisi ingine yoyote ile.

Kuanzia mkuu wao mpaka yule mwenye cheo cha chini kabisa, wote ni vilaza.

Wewe wasikilize tu hata wakiwa wanaongea. Kama una akili utagundua mapema sana uwezo wao wa kiakili.

Na ndo maana hata yule msemaji wao bila haya alisema kuwa jeshi la Tanzania ni jeshi la 6 kwa ubora duniani.

Kwa mtu mwenye akili, hawezi kusema kitu kama hicho maana hakina kabisa hata chembe ya ukweli wowote ule.

Kutaka ku-reason na wanajeshi wa Tanzania ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.

JWTZ karibu wote ni vilaza. Sijawahi ona mtu aliyefaulu vizuri shuleni halafu akaamua kwenda jeshini.
Daaaah.
Aseeeh
 
Pengine hata wao huenda wanakuona chizi.. Kama unajigamba mbele ya hadhira humu kusema hakuna watu wenye matokeo mazuri Darasani wakaenda Jeshini utakuwa chizi pia.. Sijui unaongea Karne ipi Mkuu?
 
Vijana 8000 wa kawe (18yrs hadi 35 yrs),wanashindwa kufanya push back dhidi ya 40MPs,kweli nchi hii imelogwa vibaya, na watakapomzika yule katili in uniforms, watatamka kuwa marehemu alikua mpole, mcheshi and he never hurt even a fly 🪰!!
 
Sijawahi kuwaona mimi huko jeshini.

Wote niwajuao, niwaonao, ni vilaza wa kutupwa.
Pengine hata wao huenda wanakuona chizi.. Kama unajigamba mbele ya hadhira humu kusema hakuna watu wenye matokeo mazuri Darasani wakaenda Jeshini utakuwa chizi pia.. Sijui unaongea Karne ipi Mkuu?.. Mbali na Elimu kuna tabia na hulka za mtu binafsi ambazo ni ngumu sana Elimu ya darasani kumbadili. Hizo Elimu unazoziongelea ambazo hazipo jeshini ndio nyingi zimefanya ujinga na kushindwa kutengeneza misingi thabiti kwenye Taifa hili. Acha kutukana Wanajeshi Generally kiasi hicho Mkuu. Kuna wanajeshi wapo smart sana kimtazamo kuliko unavyofikiri.
 
Nionyeshe wanajeshi watano wa JWTZ walio na akili…
 
Vijana 8000 wa kawe (18yrs hadi 35 yrs),wanashindwa kufanya push back dhidi ya 40MPs,kweli nchi hii imelogwa vibaya, na watakapomzika yule katili in uniforms, watatamka kuwa marehemu alikua mpole, mcheshi and he never hurt even a fly 🪰!!
Ukiua mwanajeshi mmoja umefanya mambo mawili

1.umeua Raisi sababu Raisi hulindwa na wanajeshi

2.Umepindua nchi sababu nchi hulindwa na jeshi

Hao vijana wsthubutu kurush hata jiwe.la kutumia manati kwa mwanajeshi yeyote wakione cha mtema kuni wakirusha jieshi linawarushia risasi mabomu na makombora ya mssafa mafupi na marefu bila kujali yanatua kwa mtu mmoja au la

Kitendo kilichofanyika cha kuua mwanajeshi saa hii.kawe ilitakiwa iwe kifusi kwa kutwanga na mibomu ya kila namna
Hao Maaskari MP 40 wako vitani wamechemka hasa wako mbogo damu ya bosi wao aliyeuaawa inawawasha kama mbogo aliyejeruhiwa muwalete hao vijana elfu 8 wajaribu kuwakabili wakione cha mtema kuni

Askari ma MP 40 mnafanya kazi nzuri kawe endeleeni ongezeni mara mbili zaidi
 
Ujinga ni pamoja na kutokuwa specific wakati wa kutoa taarifa.
Lugalo ile nzima ina vikosi 8 halafu ukiulizwa ni kikosi kipi wamefanya hizo fujo mtaani,hutokuwa na majibu kwasababu ya kukurupuka kwa namna kama hii. Kuwa makini na taarifa zako.
 
Back
Top Bottom