Tamko litolewe kukemea mwendokasi wa hizi treni.

Tamko litolewe kukemea mwendokasi wa hizi treni.

Hao maabusu hapo ndio ulikuwa muda waowa kutoka nduki hatakama mguu umevunjika unakimbia hata na mikono [emoji16][emoji16] jela sio depo kudadeqi
 
Inawezekana hao wafungwa Wamehukumiwa kunyongwa mpaka kufa muda mrefu tu ila hiyo sheria ndio hatekelezwi nchini.
 
Treni huwa haigongi hata siku moja, Treni huwa inagongwa, Binadamu tu anagonga Treni sembuse Basi.
 
Hapo kweli mwamba kazingua
Sijui alifikiri basi ni kama kiberenge!

Basi si kitu cha kugongwa na treni, lazima treni iumie tu. Ndiyo maana captain wa treni alipaswa kuchukua tahadhari kubwa sana ili kuepuka kuiletea treni majanga.
 
Back
Top Bottom