Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #201
Ooooh!! Thanx for that.
Sasa kumbe ni mpaka nipewe mimi ndio nishukuru na kuomba bia!! Haya jamani nihongeni hizo rep power mie nijipatie kabia.
Ooooh!! Thanx for that.
Sasa kumbe ni mpaka nipewe mimi ndio nishukuru na kuomba bia!! Haya jamani nihongeni hizo rep power mie nijipatie kabia.
na unavyopenda kuhongwa!!! haya nishakuhonga njoo PM
Aaah...rep pawaaa umenikumbusha ngoja niende pm nikashukuru...mi sina shukrani ujue khaaa tabia mbaya hiiHamna kitu ni tamko tu....
kwenye thread mtu alipo comment chini ya jina lake kuna kibahasha cha kusend pm na kinyota
unaclick hicho kinyota kusend rep power
ukipewa rep power zama pm kushukuru na kutoa namba
safari moja huanzisha nyingine
Aaah...rep pawaaa umenikumbusha ngoja niende pm nikashukuru...mi sina shukrani ujue khaaa tabia mbaya hii
Ha ha ha shukuru kooote kwangu papotezee au uje kunishukuru mie on behalf lol
Ha ha ha kwani akinywa juice ndo hatoi ofa ya bia?
Aaah...rep pawaaa umenikumbusha ngoja niende pm nikashukuru...mi sina shukrani ujue khaaa tabia mbaya hii
hivi kumbe huwa inabidi kushukuru?
binafsi nachukulia kama like tu...
hapana yule bahili hatari ukiingia 18 utaishia kukopwa,nampendeaga hicho tu.
Mwee nikushukuru wewe ndo ulinipa?
Oooh we shangaa tyuKumbe humu ndani kuna watu wanafaidi matunda kwa kuhonga Rep? sikuwa najua ngoja nianze kusumbua watu nipate number
Unashukuru na unaonesha ukarimu zaidi kwa kutoa nambahivi kumbe huwa inabidi kushukuru?
binafsi nachukulia kama like tu...
Kumbe kuomba bia mume ya mutu ndio shobo, mi hata nilikua sijui
Maweeeee.....!:A S embarassed::A S embarassed:
Hahahaaaa Evelyn Salt