Tamko: Sitaki shobo

Hahaha! Dah! Mbavu zangu! Watu mnacreativity ya hatari, magazeti ya udaku ya Shigongo yanaigiza. Watu mna kauli za kidaku mpaka inatisha!
Mtu amefunguka yanayomsibu, nyinyi mmegeuza mada kuwa kituko.

Correction: sijafunguka nimetoa tamko
 
"Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja, ni kama mafuta mazuri yashukayo ndevuni .... Zab 133... Wapeni watu vileo wanywe wasahau shida zao.... vile vile olewake ampanye mwenzake/nduguye kilevi,mvinyo" Tumia lugha laini na nzr ya kuwaeleza na pia Mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake kwa mikono yake. Upumbavu ni upi sasa? Akili mbayuwayu changanya na zako...
 

Ndo ufafanue sasa mi sina muda wa kufumbua mafumbo
 

Kizuri kula na nduguyo.
 
Nyoooooo na nyie mnipe vyenu nile

Mie bwana angu m-bebe tu....kweupeeeee nakuachia na hivo ana ka-kitunguu saumu, utanirudishia mwenyewe maana najua atakupakapaka tu nanilii.

Hahahah.....hebu mieeeee.
Bia hizi jamani....tuseme na kiu zetu....tutakuja kutiwa chupa za makalio bure.
Hebu mieeeeeeee......niende pm kwa mpenzi wangu maana kaniahidi kuninunulia Celica
.....Ole umfate Pm....nakutaja.
Maana naona umeshindwa kumtaja mke mwenzio
Hahahah.....charteeeeeeeeeeeee ya mbilimbi.

Mjini ndo nshafika, kijijini sirudi ng'ooooooooo!!!!!!!
 
Upepo wa njaa umevuma kwa kasi ya kilometa 80 kwa sekunde hapa!...yani bia tu,ama?!!
Mtie kamba 'mumeo',na wewe acha shobo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…