Pre GE2025 Tamko zito la vijana CCM wa vyuo vikuu waunga mkono Rais Samia na Dkt.Mwinyi kugombea urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM :FIRE:

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema

Pascrates Albinus Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM akiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi ikulu mwezi Febluali 2022 ...

Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu wa Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali 2025 kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuu hao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu tuna fulaha sana ... kwa lehema hii nyingi kutoka kwa mwenyezi Mungu kutupatia mheshimiwa lahisi anayetekeleza miladi ya kimkakati inayotuletea nehema na falaja kuu ... miladi kama ya humeme, SGR, Samia Scholarship....
 
"TAHARIFA YA VIJANA WASOMI WA CCM VYUO VIKUU KWA WAHANDISHI WA HABALI"

View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Hussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar" - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuu wasema

Mkuu, umeandika kwa Kiswahili au kwa lugha ya kabila fulani?
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

"Vioongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Hussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar" - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuu wasema

ni wapumbavu mno, hakuna chuo kikuu kna upumbavu
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

"Vioongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Hussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar" - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuu wasema

Tatizo la kusoma kayumba kama Likud halafu ukajiunga na chuo kikuu labda cha Dar es Salaam. Hukijui kiswahili vizuri.
 
"TAHARIFA YA VIJANA WASOMI WA CCM VYUO VIKUU KWA WAHANDISHI WA HABALI"

View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Hussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar" - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuu wasema

Kumbe uchawa unaanzia mbali. Hawa madogo wakikua watakuwa chawa wa kiwango cha PhD!
 
Hebu acha kufuatilia siasa ukomae na kilichokupeleka Chuo, rais anafahamika 25-30 ni Mama, hana mpinzani walitaka awe nani? Mbona it is knownable!!!

Kazaneni na shule vijana, hizi siasa za kuigiza plus na Ngono zembe za huko vyuoni mbona kama mwisho wenu hautakua Mbaya tu bali wakuogofya, nchi inahitaji wasomi waliotukuka sio waigizaji kisomo!!
 
Tatizo la kusoma kayumba kama Likud halafu ukajiunga na chuo kikuu labda cha Dar es Salaam. Hukijui kiswahili vizuri.

Hatari sana lugha yetu adhimu inaharibiwa na vijana wasomi UVCCM
 
watu dizaini hii wala haishangazi hawa ndio wale Chama kwanza Nchi baadae yaani uzalendo wao upo kwa chama na viongozi wa ccm..na ikitokea mtu akatenda tofauti na wao au hafanyi kawa wao au mtu akawa mzalendo kwa nchi akashauri mambo mema kwa taifa wanamuona mhaini anayestahili kulambishwa mchanga kisa hachezi mdundo wa kiongozi wao walio weupe upstairs kama walivyo wao
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albin Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM :FIRE:

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Hussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar" - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema

Pascrates Albin Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM akiongea na wahandishi habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshomiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi ...

Future chawa
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM :FIRE:

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Hussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar" - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema

Pascrates Albin Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM akiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi ikulu mwezi Febluali 2022 ...

Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu wa Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuu hao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu tuna fulaha sana ...

hatuna vyuo vikuu! ni extended primary schools , not even high schools
 
Back
Top Bottom