Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Maigizo kumbe bado yanaendelea😂ila wazingatie ushauri wa JKMkuu, umeandika kwa Kiswahili au kwa lugha ya kabila fulani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maigizo kumbe bado yanaendelea😂ila wazingatie ushauri wa JKMkuu, umeandika kwa Kiswahili au kwa lugha ya kabila fulani?
View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw
Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM
- Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
- Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025
"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Hussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar" - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema
Pascrates Albin Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM akiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi ikulu mwezi Febluali 2022 ...
Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu wa Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali 2025 kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuu hao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..
Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu tuna fulaha sana ... kwa lehema hii nyingi kutoka kwa mwenyezi Mungu kutupatia mheshimiwa lahisi anayetekeleza miladi ya kimkakati inayotuletea nehema na falaja kuu ... miladi kama ya humeme, SGR, Samia Scholarship....
Mwanafunzi wa chuo kikuu Tanzania toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa anaimani na matumaini potofu ya Ilani ya CCM imeandika ahadi ya mambo ya uongo ya kupata ajira, mazingira ruhani kuwa wataweza kupata vyeo vya ulaji vya kisiasa UVCCM, kuwa MNEC Halmashauri Kuu ya CCM, mbunge wa CCM n.k au kuwepo mazingira (hewa) ya kujiajiri.Gabriel Boric on the Chilean Student Movement:
59,554Views :2017 14 Jun
In a presentation at the School of Public Policy on June 7, 2017; Gabriel Boric offers a historical perspective and reflects on lessons learned. He focuses especially on the role of social movements in a well-developed democracy and provides insights on how to sustain collective action over an extended period of time. He speaks also about his transition from being a member of a political movement to being a member of Parliament. Gabriel Boric is a Chilean parliamentarian, and a former leader of the national student movement. He was the president of the Student Federation of the Universidad de Chile, one of the most important student unions in the country. Boric currently represents the Magallanes and Antarctic Region in Chile’s Chamber of Deputies. He was elected as an independent candidate and is not associated with either one of the two political coalitions that have traditionally dominated politics in Chile. Source:
Department of Public Policy at CEU
Kama wasomi ndio wanaandika hivi basi tutakuja kupata viongozi wasiojua hata lugha yetu ya Kiswahili.
Vv
24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw
Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM
- Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
- Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025
"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema
Pascrates Albinus Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM akiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi ikulu mwezi Febluali 2022 ...
Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu wa Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali 2025 kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuu hao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..
Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu tuna fulaha sana ... kwa lehema hii nyingi kutoka kwa mwenyezi Mungu kutupatia mheshimiwa lahisi anayetekeleza miladi ya kimkakati inayotuletea nehema na falaja kuu ... miladi kama ya humeme, SGR, Samia Scholarship....
24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw
Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM
- Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
- Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025
"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema
Pascrates Albinus Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM akiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi ikulu mwezi Febluali 2022 ...
Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu wa Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali 2025 kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuu hao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..
Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu tuna fulaha sana ... kwa lehema hii nyingi kutoka kwa mwenyezi Mungu kutupatia mheshimiwa lahisi anayetekeleza miladi ya kimkakati inayotuletea nehema na falaja kuu ... miladi kama ya humeme, SGR, Samia Scholarship....
UVCCM na wakubwa wao CCM na jumuiya zake WAZAZI, UWT, BAKWATA, mabaraza ya maaskofu n.k zinatumika kuharibu bongo za vijana wasiwe na uwezo wa kujitambua wala kusoma muekeleo wa nchi ili wasijiulize.Hawa jamaa wanatumika vibaya sana
Kuna muda unajiuliza Hawa watu huwa wanapewa Nini Hadi kinawabadili uwezo wao wa kufikiri?UVCCM na wakubwa wao CCM na jumuiya zake WAZAZI, UWT, BAKWATA, mabaraza ya maaskofu n.k zinatumika kuharibu bongo za vijana wasiwe na uwezo wa kujitambua wala kusoma muekeleo wa nchi ili wasijiulize.
Kama taifa je linakwenda uelekeo sahihi au la, vijana wa CCM hawawezi kuhoji / ku- challenge wazee wao kifikra kama vijana wanaojitambua waliopo BAVICHA CHADEMA.
tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Mbele kwa mbeleMaigizo kumbe bado yanaendelea😂ila wazingatie ushauri wa JK
View attachment 3212853