Pre GE2025 Tamko zito la vijana CCM wa vyuo vikuu waunga mkono Rais Samia na Dkt.Mwinyi kugombea urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lini wanafunzi wa vyuo walikutana na kupitisha ujumbe huu bila kupingwa? Ni UCHAWA tu 😑😑😑😑
 
Kijana maarufu wa UVCCM anayejitambulisha kuwa ni mtanzania mzalendo ndugu Mashaka N'kindikwa asema katiba ya chama cha CCM na kanuni zake zimevunjwa,

Kutoka maktaba :
Maoni juu ya Katiba ya Nchi mwaka 2022

β€œKatiba isiyotekelezwa inabaki kuwa ni karatasi tu yenye maandishi" . Wasomi wataka utii na ukuu wa katiba.



Wakati ajenda ya Katiba Mpya ikiendelea kutawala mijadala nchini, baadhi ya wasomi wakiwemo wachumi, wanasheria na wanaharakati wameibua hoja mpya wakidai tatizo la Tanzania siyo katiba mpya, bali kukosekana kwa ukuu na utii wa Katiba iliyopo
 
Nchi imejaa machawa tu
 
Unaanisha vyuo au vyoo vikuu mwanangu? Siku hizi tuna machawa hata vyuoni mbali na humu jf. Ni hatari kuwa na wasomi wapumbaff kama hawa mwanangu. Ngoja wamalize waanze kusota vijiweni ndipo watajua hawajui.
 
Nilikuwa sielewi uzito ulipo. Kumbe ni kwenye uandishi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nilikuwa sielewi uzito ulipo. Kumbe ni kwenye uandishi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ni matamshi na usomaji wa kiongozi wa wanafunzi wasomi wa vyuo vikuu walio wanaUVCCM wakitetea CCM na viongozi wao wakuu wateule kuelekea uchaguzi wa Oktoba 2025
 
Ni matamshi na usomaji wa kiongozi wa wanafunzi wasomi wa vyuo vikuu walio wanaUVCCM wakitetea CCM na viongozi wao wakuu wateule kuelekea uchaguzi wa Oktoba 2025
Kazi tunayo kama Taifa.

Kiswahili hatukijui n kiingereza hatujui. Lugha mama (kabila) tunaita ushamba.
 
Ubao utaimaliza generation hii
 
Ngoja wamalize chuo halafu warudi mtaani.
 
07 March 2025
Dar es Salaam

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ JUMUIYA YA WANAFUNZI CHADEMA (CHASO) WANATOA TAMKO KALI MUDA HUU..

View: https://m.youtube.com/watch?v=KPs0y_iBq08
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa CHADEMA (CHASO) Mkoa wa Dar es Salaam, Leonce Martin Sarwat, amekemea vikali...matukio yanayowakumba viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, akisema yanaathiri demokrasia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Leonce ameeleza kuwa changamoto kubwa zinazoibuka wakati wa uchaguzi ni pamoja na majina ya wapiga kura kutoonekana katika daftari la wapiga kura, mfumo mbovu wa upatikanaji wa majimbo ya uchaguzi na vitendo vya kutekwa kwa mawakala wa upinzani.

"Tuna wanachama wa CHADEMA waliotekwa na hadi sasa hatujapata majibu kutoka kwa vyombo vya dola.

CHASO tunataka serikali itoe ufafanuzi juu ya wanachama wetu waliopotea," amesema Leonce. Aidha, ameungana na kauli ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 endapo mabadiliko ya msingi hayatafanyika kwenye mfumo wa uchaguzi.

"Bila mabadiliko ya kweli, hakuna uchaguzi wa kushiriki. Hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi ambao ni wa kupanga matokeo," amesema Leonce akisisitiza No Reforms No Election 2025.


View: https://m.youtube.com/watch?v=SmZ8woPYf0s
 
Kauli yao ,kusema Kwao hakuna madhara, hakubadili wala kuongeza chochote kile.
Kauli yao ni matumizi mabaya ya muda, pesa, nguvu na povu.
Mkutano mkuu ulimpitisha kugombea,kwahiyo hilo tamko kwa wakati huu ni useless!!

Vijana hao wanatakiwa watafute KIKI nyingine

The youth in university levels were used as think tank those days!!

Sasa ni USHABWADA tupu, hawajui wanachounga mkono.

Statement as if Kuna mamlaka ndani ya chama imempinga.πŸ˜…πŸ˜…

Hivi watu Huwa siku hizi wanasomea UJINGA??
 

Ndiyo maana Umoja wa Wanafunzi wa hawawezi kualika raia kama Tundu Lissu akawanoa bongo wanachuo wa vyuo vya elimu ya juu Tanzania kama cha UDSM kuweza kuongezewa uwezo wa kufikiri nje ya box.
 
chadema ndio habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…