Tammy Abraham, mchezaji wa chelsea F.C na timu ya Taifa ya England aikana nchi yake ya Nigeria

Haha naona waafrika full kuumia, mngepata chance aliyonayo na nyie mngeichukua mapema bila hata kufikiria mara mbili. Wivu tu unawasumbua
Akae Nigeria afe njaa? watu kama Elon Musk wametoka South Afrika wameenda Marekani leo hii wana worth billions of dollars, wanatengeneza rocket wanarusha, magari, jamaa kabadilisha dunia na kampuni zake, mtu kama yule angekua South Africa unadhani yote hayo yangewezekana?

Umezaliwa mwenyewe utakufa mwenyewe, we jifanye hutaki kutoka nje uone, utakufa hujafanya changa yoyote, utabadilisha akili ya wananchi 100mil ambao majority ni vilaza wakiona umebeba kikapu cha sadaka kanisani wanakupa kura zote wakiamni kua umeshushwa na mungu? hahaha utaishia kuuliwa tu na madikteta, bora kusepa nje ambapo angalau wanajua kufuata sheria. Nchi za kiafrika zimejaa vilaza tu. Hata mimi bongo sirudi, shithole pamejaa vumbi tu kila kona. Wabongo unaweza jaribu kuwabadilisha hadi ukalia kichwa kigumu hawaelewi, mavivu tu
 
Anazingua, bora angekaa kimya. Kuna yule mchezaji nusu Mtanzania anaitwa Poulsen (kama sijakosea) aliichezea Denmark World Cup. Alipoulizwa kwanini hachezei timu ya Tanzania alijibu kwamba hakupata mwaliko kutoka TFF.
Hili jibu ni dhahiri kwamba si la kweli na sote tunajua kwanini hachezei Tanzania (world cup angeionea kwenye tv, amekulia Denmark, baba yake ambaye ni Mtanzania alikufa akiwa mdogo sana etc). Lakini alijibu kwa heshima, hakutoa dhihaka kama huyo Tammy anayeukataa Uafrika wake hadharani.
Ajifunze kuweka akiba ya maneno kwasababu tunamsubiria kwa hamu kweli!
 
hawa ndio baadae wanajifanya kutilisha huruma eti wanabaguliwa, mtu kwenu hukutaki ufanywe nini?

Wahenga hawakukosea, Mkataa kwao ni mtumwa
 
Kwa hizi African shithole countries, hata mimi ningechagua uraia wa mamton tu, no matter what.
 
Haha naona waafrika full kuumia, mngepata chance aliyonayo na nyie mngeichukua mapema bila hata kufikiria mara mbili. Wivu tu unawasumbua
Akae Nigeria afe njaa? watu kama Elon Musk wametoka South Afrika wameenda Marekani leo hii wana worth billions of dollars, wanatengeneza rocket wanarusha, magari, jamaa kabadilisha dunia na kampuni zake, mtu kama yule angekua South Africa unadhani yote hayo yangewezekana?

Umezaliwa mwenyewe utakufa mwenyewe, we jifanye hutaki kutoka nje uone, utakufa hujafanya changa yoyote, utabadilisha akili ya wananchi 100mil ambao majority ni vilaza wakiona umebeba kikapu cha sadaka kanisani wanakupa kura zote wakiamni kua umeshushwa na mungu? hahaha utaishia kuuliwa tu na madikteta, bora kusepa nje ambapo angalau wanajua kufuata sheria. Nchi za kiafrika zimejaa vilaza tu. Hata mimi bongo sirudi, shithole pamejaa vumbi tu kila kona. Wabongo unaweza jaribu kuwabadilisha hadi ukalia kichwa kigumu hawaelewi, mavivu tu
Usichoelewa wewe mavi ni kuongea maneno ya dhihaka na of course ya kujidhalilisha yeye mwenyewe. Sisi hatuna neno yeye kuamua kuichezea England na kuitosa Nigeria. Tatizo ni lugha.

Kujitapa kukaa kwako Ulaya umeshindwa kusoma between the line na kutambua maoni hapa ya hadhira yanaangukia kwenye eneo gani? Shame on your lame mind uncle Tom!
 
Mavi wewe mwenyewe na familia yako, pumbavu, umekosa cha kuongea umeona uje na matusi asshole. Poor b**tch
 
Kwa hizi African shithole countries, hata mimi ningechagua uraia wa mamton tu, no matter what.
Sawa hatukatai. Tatizo tunalolalamika ni lugha. Wewe kwa akili yako hauoni hiyo lugha aliyoitumia ina perceive slave mentality? Angesema tu, nimechagua kuchezea England kwa sababu ndiyo moyo wangu ulipochagua. Period. Bla, bla zingine ni inaonyesha namna gani hana upeo na ulimbukeni. Namna hii anajishushia heshima kwa waingereza, ambao kimsingi kwao bado ni 'mtu mweusi asiye na thamani'.
 
Hahahaha huyu dogo ananifurahishaga sana

Huwa anakuta yeye ni Didier drogba

Msimu mmoja tu anajiona keki balaa yeye na yule mwezie odoi

Pumbavu sana

Hawa madogo wanaleta tabu sana pale darajani

Siku zao zinahesabika usajili si tumeruhusiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sio wa kwanza acheni kumtumpia lawama.

Floyd Maywether alikataa hadharani kuwa yeye sio Muafrica ila ni muamerica... Ingia hapa uone interview Yake halafu soma comments za black America wakimsapoti kuwa nao sio waafrica

Mwisho wa siku waafrica tuache kujishtukia, acheni watu waishi wanavyotaka na Nyie ishini mnavyotaka shida ya Nini !!!??[emoji1].. Mbona inferiority complex inatusumbua.

IMG_20200617_121406.jpeg
 
Sawa hatukatai. Tatizo tunalolalamika ni lugha. Wewe kwa akili yako hauoni hiyo lugha aliyoitumia ina perceive slave mentality? Angesema tu, nimechagua kuchezea England kwa sababu ndiyo moyo wangu ulipochagua. Period. Bla, bla zingine ni inaonyesha namna gani hana upeo na ulimbukeni. Namna hii anajishushia heshima kwa waingereza, ambao kimsingi kwao bado ni 'mtu mweusi asiye na thamani'.
Ni kweli. Maamuzi aliyochukua ni bora ila alichoshindwa ni kujieleza tu
 
Back
Top Bottom