Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Nakazia si Nigeria tu bali hata AFRIKA nzima.Wakati mwingine ni vyema kubaki kimya.
Mpaka hapa kashapoteza mashabiki kutika Nigeria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia si Nigeria tu bali hata AFRIKA nzima.Wakati mwingine ni vyema kubaki kimya.
Mpaka hapa kashapoteza mashabiki kutika Nigeria.
We muache tu,watakapo mpigia goti shingoni ndio atajua kwao ni wapi...
Hahahahahahahha!!!Awe makini baadae asilete stori za "i can't breath".
Alex Iwobi ni raia wa UK by birth lakini anaichezea Nigeria national teamKwa hizi African shithole countries, hata mimi ningechagua uraia wa mamton tu, no matter what.
Usichoelewa wewe mavi ni kuongea maneno ya dhihaka na of course ya kujidhalilisha yeye mwenyewe. Sisi hatuna neno yeye kuamua kuichezea England na kuitosa Nigeria. Tatizo ni lugha.Haha naona waafrika full kuumia, mngepata chance aliyonayo na nyie mngeichukua mapema bila hata kufikiria mara mbili. Wivu tu unawasumbua
Akae Nigeria afe njaa? watu kama Elon Musk wametoka South Afrika wameenda Marekani leo hii wana worth billions of dollars, wanatengeneza rocket wanarusha, magari, jamaa kabadilisha dunia na kampuni zake, mtu kama yule angekua South Africa unadhani yote hayo yangewezekana?
Umezaliwa mwenyewe utakufa mwenyewe, we jifanye hutaki kutoka nje uone, utakufa hujafanya changa yoyote, utabadilisha akili ya wananchi 100mil ambao majority ni vilaza wakiona umebeba kikapu cha sadaka kanisani wanakupa kura zote wakiamni kua umeshushwa na mungu? hahaha utaishia kuuliwa tu na madikteta, bora kusepa nje ambapo angalau wanajua kufuata sheria. Nchi za kiafrika zimejaa vilaza tu. Hata mimi bongo sirudi, shithole pamejaa vumbi tu kila kona. Wabongo unaweza jaribu kuwabadilisha hadi ukalia kichwa kigumu hawaelewi, mavivu tu
Mavi wewe mwenyewe na familia yako, pumbavu, umekosa cha kuongea umeona uje na matusi asshole. Poor b**tchUsichoelewa wewe mavi ni kuongea maneno ya dhihaka na of course ya kujidhalilisha yeye mwenyewe. Sisi hatuna neno yeye kuamua kuichezea England na kuitosa Nigeria. Tatizo ni lugha.
Kujitapa kukaa kwako Ulaya umeshindwa kusoma between the line na kutambua maoni hapa ya hadhira yanaangukia kwenye eneo gani? Shame on your lame mind uncle Tom!
Sawa hatukatai. Tatizo tunalolalamika ni lugha. Wewe kwa akili yako hauoni hiyo lugha aliyoitumia ina perceive slave mentality? Angesema tu, nimechagua kuchezea England kwa sababu ndiyo moyo wangu ulipochagua. Period. Bla, bla zingine ni inaonyesha namna gani hana upeo na ulimbukeni. Namna hii anajishushia heshima kwa waingereza, ambao kimsingi kwao bado ni 'mtu mweusi asiye na thamani'.Kwa hizi African shithole countries, hata mimi ningechagua uraia wa mamton tu, no matter what.
Punk ass slave!Mavi wewe mwenyewe na familia yako, pumbavu, umekosa cha kuongea umeona uje na matusi asshole. Poor b**tch
Ni kweli. Maamuzi aliyochukua ni bora ila alichoshindwa ni kujieleza tuSawa hatukatai. Tatizo tunalolalamika ni lugha. Wewe kwa akili yako hauoni hiyo lugha aliyoitumia ina perceive slave mentality? Angesema tu, nimechagua kuchezea England kwa sababu ndiyo moyo wangu ulipochagua. Period. Bla, bla zingine ni inaonyesha namna gani hana upeo na ulimbukeni. Namna hii anajishushia heshima kwa waingereza, ambao kimsingi kwao bado ni 'mtu mweusi asiye na thamani'.