Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Mwanzoni nilihisi hivyo lakini wahusika wakuu mara nyingi hubeba jina la kazi ya fasihi kama ni huba kwa maana ya upendo/mapenzi yalibidi yatamalaki baina yao.Lakini nilichokiona ni kama alivyosema Mtibeli;Umalaya au udangaji.Ha ha ha ha Kwa akili za mtunzi utakuta Tima na Yule jamaa msomali
SanaaaYule mtunzi wa Kombolela na zahanati ya kijiji anajua sana.
Mkuu kwenye hizi scene wanaonyesha live kama zilivo 50 shades, na ile ya Angelina Jolie na Banderas nianze kuifuatilia hiyo Huba?Lakini ninyi mnafundisha Watu umalaya, kudanga, kufanya uasherati.
Muamaa wa mwisho wa filamu za Kitanzania ni kituko, yaani dakika 1 na nusu tayari, ila ukitazama wenzetu wanatambua michango ya watu wote waliohusika kwenye filamu husika.Mie movie zetu kinachonikera ni upande wa "uhalisia" yaani maisha ya mume na make hayaendani na umri yaani unakuta wengi wa waigizaji wanaishi kwenye majunba makubwa na maisha ya kifahari
Mkuu acha kulinganisha 50 Shades of Grey na Huba aisee! 50 Shades of Grey ni kazi ya sanaa yenye ufundi sana! kumpata mtu kama Christian Grey sio Hemed PhDMkuu kwenye hizi scene wanaonyesha live kama zilivo 50 shades, na ile ya Angelina Jolie na Banderas nianze kuifuatilia hiyo Huba?
Visa havina muunganiko, kijana kaiba boda boda, ambayo aliyeibiwa ni mtumishi nae mtumishi katembea na mke wa mtu, yule mke wa mtu ana tatizo la ugumba,kaenda kwa mganga akabakwa, polisi wakafatilia kabla hawajamkamata mganga wakakutana na ishu ya mauaji mengine ya mtoto wa mwanakijiji wakaachana na ishu ya mke wa mtu kubakwa , wakadili na mauaji, askari mwingine akatokea akawageuka katika hyo kesi kwa kuwa anajuana na wauaji na alishakula nao njama , inaendaaa inaendaaa mpaka inachosha hata kuangalia
NB:comment yangu haiusiani na tamthilia ya HUBA wala JUA KALI [emoji3][emoji3]
Juakali, Huba, Yalaiti sijui Wimbi zote ni TAKATAKA!
Nikimuonaga JB na likitambi lake nasikia kichefuchefu.
Sijakutupia mawe instead nimekupongezaUngekuwa Bongo movie usingenitupia mawe Mkuu?😊
Tatizo lingine ambalo huwa linanikera hadi sasa nimepumzika kuangalia bongo movie ni Tajiri anamiliki nyumba kali ghorofa ya kifahari ila gari yake ya kutembelea ni Passo ya million 6 alafu imegongwa kidogo ubavu na ina makovu, yani mali za tajiri hazifani thamani
Sijakutupia mawe instead nimekupongeza
Tatizo lingine ambalo huwa linanikera hadi sasa nimepumzika kuangalia bongo movie ni Tajiri anamiliki nyumba kali ghorofa ya kifahari ila gari yake ya kutembelea ni Passo ya million 6 alafu imegongwa kidogo ubavu na ina makovu, yani mali za tajiri hazifani thamani
Huba mwanzon ilikuwa nzuri ila walivyoendeleza mpaka leo nikaghairi na kuangalia kabisa
Bongo movie hata ukiwaza kuangalia unahisi uchovu visa havieleweki tena kama hizi series ndio kabisa, halafu characters wote ni main character huelewi yupi ni yupi.
Uongo dejane😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kilichonichekesha director anasema bado sana kuisha wanaiendeleza zaidi inamaana tangu mwanzo hawakujua ishu yao inaishaje,tamithilia moja ya kijinga sana.
Maonesho yao mama kutoka na mwanae,mzee kuoa vitoto vidogo,kijana kumpenda mama mkwe na kuanzisha mahusiano ya kimapenzi hovyohovyo
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app