Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
sawa naona akili yako imeishia hapo ....(Matusi na kashfa)...ndiyo imani yako inavyokufundisha.....Mtoto anaeweza kufanya hivyo kikweli lazima atakuwa ni mtoto wa ZINAA.
Hio ni Tamthilia. Km ile ya yule mzungu aliye act kama Yesu.
Akapigwa misumari na kuchomwa mkuki Tumboni akiwa msalabani.
Sasa wangapi ulisikia hapa Tanzania wamepiga watu misumari msalabani wakawachoma na mikuki ya TUMBONI?
ACHENI CHUKI ZA KIJINGA.
Mnachukia mpk Tamthilia? Nyie watu Chuki dhidi ya waislamu itawaletea magonjwa ya moyo.