Hatari Sana aiseeIlhali waarabu wanajitahidi kukaa mbali na uafrika,😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari Sana aiseeIlhali waarabu wanajitahidi kukaa mbali na uafrika,😂😂
Kwani ni lazima uangalieTamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Susieni Hadi bidhaaWakristo tususie uchafu wa Azam
HahahahahaWakikusikia utasikia,
"Hama kwani nani kakulazimisha kununua Azam".
Mimi baada ya kumuona mwanangu anajifunza kushika mapanga na kujisifia anakula vichwa kama osman anashushia na lugha za kiarabu hata sizielewi...siku hizi silipii kifurushi.
Maana leo Osman anakula vichwa vya waroma kesho huyu mtoto atatafuta wa kujaribishia..[emoji26][emoji26][emoji26]
Mbona avatar yako Kuna picha ya mgalatia..au Jiwe Ni miongoni mwa mikakati yenu kuwaendesha wakristo ?Nyie si mnasema WAISLAM ni wachache sasa huo wingi mnautoa wapi?
Tutawaendesha mpaka mkome mbuzi nyie, sasa tunapanga kuwalisha Haluwaaa
Mtoto anaeweza kufanya hivyo kikweli lazima atakuwa ni mtoto wa ZINAA.Wakikusikia utasikia,
"Hama kwani nani kakulazimisha kununua Azam".
Mimi baada ya kumuona mwanangu anajifunza kushika mapanga na kujisifia anakula vichwa kama osman anashushia na lugha za kiarabu hata sizielewi...siku hizi silipii kifurushi.
Maana leo Osman anakula vichwa vya waroma kesho huyu mtoto atatafuta wa kujaribishia..😥😥😥
YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRRMtoto anaeweza kufanya hivyo kikweli lazima atakuwa ni mtoto wa ZINAA.
Hio ni Tamthilia. Km ile ya yule mzungu aliye act kama Yesu.
Akapigwa misumari na kuchomwa mkuki Tumboni akiwa msalabani.
Sasa wangapi ulisikia hapa Tanzania wamepiga watu misumari msalabani wakawachoma na mikuki ya TUMBONI?
ACHENI CHUKI ZA KIJINGA.
Mnachukia mpk Tamthilia? Nyie watu Chuki dhidi ya waislamu itawaletea magonjwa ya moyo.
Mtoto anaeweza kufanya hivyo kikweli lazima atakuwa ni mtoto wa ZINAA.
Hio ni Tamthilia. Km ile ya yule mzungu aliye act kama Yesu.
Akapigwa misumari na kuchomwa mkuki Tumboni akiwa msalabani.
Sasa wangapi ulisikia hapa Tanzania wamepiga watu misumari msalabani wakawachoma na mikuki ya TUMBONI?
ACHENI CHUKI ZA KIJINGA.
Mnachukia mpk Tamthilia? Nyie watu Chuki dhidi ya waislamu itawaletea magonjwa ya moyo.
Kavunjwa mguu na mleviYESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRR
Acha uzwazwa mleta mada.Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Dr kahtaan naona unampa mtu hapa kati chembe kidevu teh teh teh!!!HIO Tamthilia ni HISTORY YA KWELI na sio maigizo tu ya kutafuta pesa
Na kawaida ya Historia za kweli zote huwa zinachoma choma manake zinagusa wale wasio na elimu.
Iko moja inakuja inaitwa "THE CRUSADE " Ya wale wakristo waliua waislamu kule Israel wakala nyama za watoto kwa kutumia jina la Yesu.
Hio ikianza labda utavunja hio TV yako.
Usipende kulalamika bila kufahamu unacho lalamikia
Soma historia ya THE OTTOMAN EMPIRE uone je AZAM anaonyesha Tamthilia ya uongo au NI KWELI TUPU?
We KWELI HUJAENDA SHULE.Ni wazi lengo lao ni kuudunisha Ukristo lakini hawataweza, kwanza mimi pamoja na kuwa sio mfuatiliaji wa historia ila sijawahi sikia himaya ya ottoman ila himaya ya rumi ni maarufu na ilitikisa dunia nzima, lakini tofauti na propaganda zinazofanywa na azam tv kutuaminisha ottoman na uislam ni bora kuliko wengine.
Endelea kuwarusha kimasai tu mpaka waombe poo 😆Mtoto anaeweza kufanya hivyo kikweli lazima atakuwa ni mtoto wa ZINAA.
Hio ni Tamthilia. Km ile ya yule mzungu aliye act kama Yesu.
Akapigwa misumari na kuchomwa mkuki Tumboni akiwa msalabani.
Sasa wangapi ulisikia hapa Tanzania wamepiga watu misumari msalabani wakawachoma na mikuki ya TUMBONI?
ACHENI CHUKI ZA KIJINGA.
Mnachukia mpk Tamthilia? Nyie watu Chuki dhidi ya waislamu itawaletea magonjwa ya moyo.
Acha uongo na uzandiki wewe.Wewe ndio hulewi. Hatukatai ni historia na ilitokea kweli. Kama zilivyo tamthilia nyingine nyingi tu zenye kuelezea historia based on true stories kama 300 sparta nk.
Hoja ni why azam ambao wamekuwa wakilalamikiwa kuhusu udini kwenye ajira bado maudhui ya vipondi vyao vingi vinaelement za udini? Kwenye makorido ya azam usiposamilia :salamaleko" itakugharim.
Kuna tamthilia maelfu za kituruki zipo neutral kama ezel nani uliona anailalamikia. Aanzishe chanel ya kidini ndio awe free kuweka mambo ya kidini huko hataulizwa
Hao wapo kiuhalisiaAngalia movie zote za waarabu na wamarekani, lazima majambazi wawe waarabu
Tena wanaonekana wale watu dini ( waislamu) wakichinja watu Kwa sana.
Mbona husikii watu wakilalama.
Teh teh teh!!Kavunjwa mguu na mlevi View attachment 2538152
Umetereza bro mpk 1700 roman empire haikuwa na nguvu na Ottoman empire ilianza kuvunjika vita ya kwanza ya Dunia waarabu wenyewe wakiwa washiriki km Saudia,Bahrain,Syria n.k.Sasa wewe uelewa huna wa historia unakasirikia historia jamani..
Kile unachokiona ndio ottoman empire ya kituruki ikasambaa hadi ulaya ndio chanzo cha mataifabkà ma Spain kuwa na watu wa asili ya uarabu uarabu hivi..
Hiyo ni historia tu kama roman empire and the like..
Sema waigizaji wake wanaweka bwebwe kama hawakuwahi kushindwa ila walikuja wakaangushwa na roman empire miaka ya 1700s.